Makinika

Makinika

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Habari jf
.
CJUI KAMA ILISHATOLEWA AU LAAHA,BUT ELIMU HAINA MWISHO.

Napenda nizungumze na wale walio kwenye mahusiano,wapenzi.
Ni vyema Wapenzi mkawa mnazungumza kwa undani kabla mjafanya mapenzi,hasa kuhusiana na mzunguko wa damu za kila mwezi kw wanawake,hii itaepusha mimba za bahat mbaya,na lawa czokuwa na msingi kam vile mimba cyo yangu n.k.

Weng wetu,hatupend kuzungumza,tunakumbuka baada ya tendo kwisha.

KWA WASICHANA:
Ni bora ukaanza kuwa muwaz kw mwenzio,umuweke waz kuhusu mzunguko wako,ilii nae ajue vyema na ikiwezekana muulize waatalamu jinsi inavyo kuwa.

Mfano,nilikuwa na wauliza wanafunz wa kidato cha 5 wakike shule fulan,kuhus ni wakat gan ktk mp unapata ujauzito,wakasema ukiwa kwenye bleeding,mara cku 2 baada,5 n.k!!
Tukubaliane hata kama tumesoma sana kuna mambo mengine madogo tuna ya puuza na mwisho wa cku tuna umbuka na kujilaumu.
Haya yote yataondoa lawama za kukataa ujauzito, na kujenga uaminifu kiasi.

Pia itasaidia kupanga familia vyema,kama kupata mtoto wa kike,wakiume na idadi fulani,inawezekana.
Karibun kwa maoni, nyongeza na n.k.
 
Mmh,sikuizi Wizi mtupu wachache sana wanaokwenda peku kila mmoja anamuogopa mwenzie...ahsante lakini
 
Mimba ikataka kuingi ainaingia tu...hizo hesabu za period mnajidanganya tu.

Kuna wanawake wamefunga mpaa kizazi nawabebeshwa mimba.

Hio ni siri ya mungu...hakuna safe side eti baada ya week ndo umwagie nje....hizo hesabu zao watabaki nazo wawo na siri ya mimba anaijua mungu tu saa ngapi itaingia.
 
faza..Mungu ametupa akili na uwezo wa mambo mengi amboya ata ww ukiyaangalia unashindwa kuamin ni cc wanadamu tuna fanya,
Vitu vingine viko ndan ya uwezo wetu na sio kila jambo tuna msingizia,au kumeachia Mungu.
Uvivu wa kufikir ndio umaskin na tabu lwetu kaka.
 
Kweli nakubaliana na wewe, sema bado nasema mimba ni majaliwa kutoka kwa mungu kama wana ndoa, kama nje ya ndoa mungu anataka kuwatia aibu tu ndo mana unaona mimba za nje ya ndoa zinakuaja fast fasta.

Lakini narudia nakubalina na point yako.
 
Mimba ikataka kuingi ainaingia tu...hizo hesabu za period mnajidanganya tu.

Kuna wanawake wamefunga mpaa kizazi nawabebeshwa mimba.

Hio ni siri ya mungu...hakuna safe side eti baada ya week ndo umwagie nje....hizo hesabu zao watabaki nazo wawo na siri ya mimba anaijua mungu tu saa ngapi itaingia.

mwalimu wako wa biology alipoteza nguvu zake bure!
 
..jamani Fazaa mbona hivyo!!!..unayatoa wapi haya?..
 
mwalimu wako wa biology alipoteza nguvu zake bure!
Aahh tena mwalimu wangu wa biology alivyo kuwa ananipenda we wacha tu, jina lake lilikuwa Vanuza Vasco yani alikwua baba yake from Portugues na mama kutoka Angola.

Afu nani kapinga alicho sema Bakulutu, nimesema tu kwamba mimba ikiwa nataka kuingia itaingia tu kama mungu kataka hata kama uta take a pracuation ya aina yoyote ile.
 
Mimba ikataka kuingi ainaingia tu...hizo hesabu za period mnajidanganya tu.

Kuna wanawake wamefunga mpaa kizazi nawabebeshwa mimba.

Hio ni siri ya mungu...hakuna safe side eti baada ya week ndo umwagie nje....hizo hesabu zao watabaki nazo wawo na siri ya mimba anaijua mungu tu saa ngapi itaingia.

Narrow mind..
 
Watu wanaogopa kuzaliana kuliko kufa. I mean mimba inaogopwa kuliko ukimwi. This is very serious!
 
Back
Top Bottom