MAKINIKIA: Watanzania wamimininika kujifunza udereva

Iwe ya kibuluu ng'aavu.
Iwe na spotlight mpaka kwenye realms, na kwenye wipers.
Iwekewe honi ya eicha.
Iwe na buti kubwa ili kuweza kupakia makinikia ikitokea dharura.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hhahah,,, Mkuu una kipaji cha kuchekesha sio bure... Timamu TV anafanya usaili wa comedians this tym...!!
Haaaa haaaa haaaa mkuu niende kwenye usaili nitapita Kweli!!!?
 
Noah yang iwe na had radar kuchek ICBM za north Korea na chuma cha kulia bata
 
Uchochezi na Upotoshwaji wa aina hii hauvumiliki...................!!!!!
 
Mimi nataka noah ya kuchora tu niiweke kwenye sanduku langu kumbukumbu hiyo halisi sina parking myumbani bora ya kuchora nitaweka hata kwenye wallet tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…