SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,343
- 3,561
![]()
Noah oyeeeeeeeee!
Neyo anatamani angekuwa diamond
Hhahah,,, Mkuu una kipaji cha kuchekesha sio bure... Timamu TV anafanya usaili wa comedians this tym...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Noah oyeeeeeeeee!
Neyo anatamani angekuwa diamond
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Iwe ya kibuluu ng'aavu.
Iwe na spotlight mpaka kwenye realms, na kwenye wipers.
Iwekewe honi ya eicha.
Iwe na buti kubwa ili kuweza kupakia makinikia ikitokea dharura.
ok fanya utafiti ilipo noah's arch na bei uleteweYOYOTE ILE ILIMRADI IWE NOAH
Uchochezi na Upotoshwaji wa aina hii hauvumiliki...................!!!!!Watanzania katika mikoa mbalimbali nchini wameanza kumiminika katika vyuo vya udereva baada ya kuahidiwa kila mtu atapata Noah yake.
Je wewe ungependa Noah yako iwe rangi gani,manual au automatic,cc ngapi na toleo gani. Mimi nataka nyeusi old model automatic transmission
Karibuni kuchagua Noah zenu![]()
![]()
![]()
![]()