Tetesi: Makinikia yameanza kusafirishwa tena?

Wakuu,
Kwa niliyayona jana na juzi sitasalimia naenda moja kwa moja kwenye maandiko yangu.

Nilisafiri kwenda kijijini mara moja kwenda kutafuta mazao kwani wakulima nikafika kijiji kimoja kinaitwa Ilogi huku Kakola mkoani Shinyanga. Nikiwa katika mizunguuko nikakuta malori haya makubwa Semi Trailer yanaelekea Mgodini bulyanhulu.

Nilishangaa kidogo maana nilihesabu nikafika 40 nikaacha kuendelea kuhesabu vumbi lilikuwa kubwa sana.Hiyo ni juzi jioni.Nikajisemea ngoja niendelee na kuhangaikia yaliyonileta niachane na mambo ya watu.

Jana mchana nikiwa nakula wali samaki nikaona vumbi limeanza nikasema niangalie kunani.Hamadi Malori yakaanza kuelekea kahama au Mwanza mimi sijui maana yalitokea upande wa mgodini yakawa yanapita kijiji cha Kakola,mimi nilikuwa Kili Time. Baada ya kuhesabu Malory yakafika 52 niliamua kuacha nikaamua kuawadadisi watu waliopo jirani yangu.

Majibu niliyopewa yalinihuzunisha sana sana sana. Niliambiwa ni Makinikia yameanza kusafirishwa na yale maalory yalikuwa yamebeba huo mchanga kwenda kuuprocess nje ya Tanzania. Majirani zangu waliniambia mchanga uliokuwa umezuiliwa kipindi cha Rais Wangu usitoke sasa unatoka maana hayupo Tena.

Machozi yalinilengalenga nikajiuliza swali ambalo sikupata jibu. Nimekuja ili Mnijibu Nyie.

JE HII NI KWA FAIDA YA NANI?AU NI SAWA NA NDEGE AINA YA KANGA MWENYE CHONGO AU JICHO MOJA KILA AKICHAKUA/FUKUA ANAWAFUKULIA WAZIMA(WENYE MACHO YOTE MAWILI?)

Jioni Tena malory yakaanza kuingia kutoka mjini kwenda mgodini, sikuona sababu ya kuhesabu niliamua kuondoka maeneo yale ambapo ningeweza kuhesabu malori nakaingia Minza ambapo malory huyaoni maana hayapiti maeneo hayo.

Leo sitakaa maeneo ya barabara kuu najua yatapita tu malori yanayotibua nafsi yangutena.

Je hiki ndicho tulichokuwa tunakitaka? Nani anafaidika? Kwa manufaa ya nani? Au ndio wamepewa Ruksa kama wawekezaji? Au wapiga dili wameanza?
Siyo yameanza kusafirishwa. Hata wakati wa Magufuli yalikuwa yanasafirishwa. Si walishatoa kiinua uchumba!
 
Mkuu yan siku zote hizoo hujui km yanasafirishwa hata kabla shujaa hajasepa zake?? Halaf vitu vingine mjifunze kutafuta facts, yale ma report ya makanikia kipindi kile hayako realistic kbs. Akili za kuambiwa mix na zako chief utaumia moyo bure for no reason.
Tuletee facts mkuu kama huna hiyo ni propaganda,mimi nimeona wakisafirisha wewe unasema tangu zamani wanasafirisha mwaga facts.
 
Kwani kayika kipindi chote mwendazake alipoyazuia ,Kama nchi yulipata faida gani au wewemleta post ulipata nini?
aidi ya kutuachia mzigo wa Deni la Taifa tilion 62±
 
Hiki ni kiyahudi mkuu umeandika?Sijakuelewa!
 
Wakuu,
Kwa niliyayona jana na juzi sitasalimia naenda moja kwa moja kwenye maandiko yangu.

Nilisafiri kwenda kijijini mara moja kwenda kutafuta mazao kwani wakulima nikafika kijiji kimoja kinaitwa Ilogi huku Kakola mkoani Shinyanga. Nikiwa katika mizunguuko nikakuta malori haya makubwa Semi Trailer yanaelekea Mgodini bulyanhulu.

Nilishangaa kidogo maana nilihesabu nikafika 40 nikaacha kuendelea kuhesabu vumbi lilikuwa kubwa sana.Hiyo ni juzi jioni.Nikajisemea ngoja niendelee na kuhangaikia yaliyonileta niachane na mambo ya watu.

Jana mchana nikiwa nakula wali samaki nikaona vumbi limeanza nikasema niangalie kunani.Hamadi Malori yakaanza kuelekea kahama au Mwanza mimi sijui maana yalitokea upande wa mgodini yakawa yanapita kijiji cha Kakola,mimi nilikuwa Kili Time. Baada ya kuhesabu Malory yakafika 52 niliamua kuacha nikaamua kuawadadisi watu waliopo jirani yangu.

Majibu niliyopewa yalinihuzunisha sana sana sana. Niliambiwa ni Makinikia yameanza kusafirishwa na yale maalory yalikuwa yamebeba huo mchanga kwenda kuuprocess nje ya Tanzania. Majirani zangu waliniambia mchanga uliokuwa umezuiliwa kipindi cha Rais Wangu usitoke sasa unatoka maana hayupo Tena.

Machozi yalinilengalenga nikajiuliza swali ambalo sikupata jibu. Nimekuja ili Mnijibu Nyie.

JE HII NI KWA FAIDA YA NANI?AU NI SAWA NA NDEGE AINA YA KANGA MWENYE CHONGO AU JICHO MOJA KILA AKICHAKUA/FUKUA ANAWAFUKULIA WAZIMA(WENYE MACHO YOTE MAWILI?)

Jioni Tena malory yakaanza kuingia kutoka mjini kwenda mgodini, sikuona sababu ya kuhesabu niliamua kuondoka maeneo yale ambapo ningeweza kuhesabu malori nakaingia Minza ambapo malory huyaoni maana hayapiti maeneo hayo.

Leo sitakaa maeneo ya barabara kuu najua yatapita tu malori yanayotibua nafsi yangutena.

Je hiki ndicho tulichokuwa tunakitaka? Nani anafaidika? Kwa manufaa ya nani? Au ndio wamepewa Ruksa kama wawekezaji? Au wapiga dili wameanza?
Mzigo walianza siku nyingi sana kusafirisha Mwendazake aliruhusu kwa aibu ya utu uzima
 
Upuuzi wangu una facts na hauko kwenye ulimbukeni wa ukabila na upuuzi na ushamba
Kuwa mshamba wote tu watu wa shamba maana siamini wewe ni mtoto wa Mkoma ambaye alizaliwa makoroboi wala mimi. Ulivyo mpuuzi unakurupuka maana hujui kabila langu, nitakuwaje na ukabila wakati hujui kabila langu?
 
Lini yalikua hayasafirishwi.?
 
Nani alikuambia yaliacha kusafirishwa??
Unasikiliza matamko majukwaani??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kuwa mshamba wote tu watu wa shamba maana siamini wewe ni mtoto wa Mkoma ambaye alizaliwa makoroboi wala mimi. Ulivyo mpuuzi unakurupuka maana hujui kabila langu, nitakuwaje na ukabila wakati hujui kabila langu?
Hebu tuliza mshono, relax! Maisha ni mafupi sana huhitaji kupaniki kama vile umefumaniwa! Relax, sio mimi niliyemua Shujaa wenu.
 
Yalianza kusafirishwa kwa ruhusa yake mwenyewe baaada ya kuona ataambulia aibu kubwa.
 
Mbona waliendelea kusafirish hata kabla ya tarehe 17/3/2021 na aliyezuia aliku anajua.
 
Wakuu,
Kwa niliyayona jana na juzi sitasalimia naenda moja kwa moja kwenye maandiko yangu.

Nilisafiri kwenda kijijini mara moja kwenda kutafuta mazao kwani wakulima nikafika kijiji kimoja kinaitwa Ilogi huku Kakola mkoani Shinyanga. Nikiwa katika mizunguuko nikakuta malori haya makubwa Semi Trailer yanaelekea Mgodini bulyanhulu.

Nilishangaa kidogo maana nilihesabu nikafika 40 nikaacha kuendelea kuhesabu vumbi lilikuwa kubwa sana.Hiyo ni juzi jioni.Nikajisemea ngoja niendelee na kuhangaikia yaliyonileta niachane na mambo ya watu.

Jana mchana nikiwa nakula wali samaki nikaona vumbi limeanza nikasema niangalie kunani.Hamadi Malori yakaanza kuelekea kahama au Mwanza mimi sijui maana yalitokea upande wa mgodini yakawa yanapita kijiji cha Kakola,mimi nilikuwa Kili Time. Baada ya kuhesabu Malory yakafika 52 niliamua kuacha nikaamua kuawadadisi watu waliopo jirani yangu.

Majibu niliyopewa yalinihuzunisha sana sana sana. Niliambiwa ni Makinikia yameanza kusafirishwa na yale maalory yalikuwa yamebeba huo mchanga kwenda kuuprocess nje ya Tanzania. Majirani zangu waliniambia mchanga uliokuwa umezuiliwa kipindi cha Rais Wangu usitoke sasa unatoka maana hayupo Tena.

Machozi yalinilengalenga nikajiuliza swali ambalo sikupata jibu. Nimekuja ili Mnijibu Nyie.

JE HII NI KWA FAIDA YA NANI?AU NI SAWA NA NDEGE AINA YA KANGA MWENYE CHONGO AU JICHO MOJA KILA AKICHAKUA/FUKUA ANAWAFUKULIA WAZIMA(WENYE MACHO YOTE MAWILI?)

Jioni Tena malory yakaanza kuingia kutoka mjini kwenda mgodini, sikuona sababu ya kuhesabu niliamua kuondoka maeneo yale ambapo ningeweza kuhesabu malori nakaingia Minza ambapo malory huyaoni maana hayapiti maeneo hayo.

Leo sitakaa maeneo ya barabara kuu najua yatapita tu malori yanayotibua nafsi yangutena.

Je hiki ndicho tulichokuwa tunakitaka? Nani anafaidika? Kwa manufaa ya nani? Au ndio wamepewa Ruksa kama wawekezaji? Au wapiga dili wameanza?
 
Nikishaona jina la Mshana huwa moja kwa moja hiyo post sisomi kabisa. Mijitu ya milimani umandeni huko eti yanajiita ya mjini wakati ukifika huko Ndungu hadi Kivukoni utayahurumia yalivyo na njaa na yanaishi kwenye umande kama nyani tu. Fyuuuu.
Kuwa mshamba wote tu watu wa shamba maana siamini wewe ni mtoto wa Mkoma ambaye alizaliwa makoroboi wala mimi. Ulivyo mpuuzi unakurupuka maana hujui kabila langu, nitakuwaje na ukabila wakati hujui kabila langu?
 
Tuletee facts mkuu kama huna hiyo ni propaganda,mimi nimeona wakisafirisha wewe unasema tangu zamani wanasafirisha mwaga facts.
Naishi huku karibu na mgodi na nina ndugu zangu wanafanya kazi mgodini, kitambo sana makinikia yanasafirishwa, usafirishaji ulisimama in a less than a year,
 
Mkuu yan siku zote hizoo hujui km yanasafirishwa hata kabla shujaa hajasepa zake?? Halaf vitu vingine mjifunze kutafuta facts, yale ma report ya makanikia kipindi kile hayako realistic kbs. Akili za kuambiwa mix na zako chief utaumia moyo bure for no reason.
Kuna mijitu imevimbiwa huu utulivu. inamlazimisha mama kutumia noah nyeusi.
 
Wakuu,
Kwa niliyayona jana na juzi sitasalimia naenda moja kwa moja kwenye maandiko yangu.

Nilisafiri kwenda kijijini mara moja kwenda kutafuta mazao kwani wakulima nikafika kijiji kimoja kinaitwa Ilogi huku Kakola mkoani Shinyanga. Nikiwa katika mizunguuko nikakuta malori haya makubwa Semi Trailer yanaelekea Mgodini bulyanhulu.

Nilishangaa kidogo maana nilihesabu nikafika 40 nikaacha kuendelea kuhesabu vumbi lilikuwa kubwa sana.Hiyo ni juzi jioni.Nikajisemea ngoja niendelee na kuhangaikia yaliyonileta niachane na mambo ya watu.

Jana mchana nikiwa nakula wali samaki nikaona vumbi limeanza nikasema niangalie kunani.Hamadi Malori yakaanza kuelekea kahama au Mwanza mimi sijui maana yalitokea upande wa mgodini yakawa yanapita kijiji cha Kakola,mimi nilikuwa Kili Time. Baada ya kuhesabu Malory yakafika 52 niliamua kuacha nikaamua kuawadadisi watu waliopo jirani yangu.

Majibu niliyopewa yalinihuzunisha sana sana sana. Niliambiwa ni Makinikia yameanza kusafirishwa na yale maalory yalikuwa yamebeba huo mchanga kwenda kuuprocess nje ya Tanzania. Majirani zangu waliniambia mchanga uliokuwa umezuiliwa kipindi cha Rais Wangu usitoke sasa unatoka maana hayupo Tena.

Machozi yalinilengalenga nikajiuliza swali ambalo sikupata jibu. Nimekuja ili Mnijibu Nyie.

JE HII NI KWA FAIDA YA NANI?AU NI SAWA NA NDEGE AINA YA KANGA MWENYE CHONGO AU JICHO MOJA KILA AKICHAKUA/FUKUA ANAWAFUKULIA WAZIMA(WENYE MACHO YOTE MAWILI?)

Jioni Tena malory yakaanza kuingia kutoka mjini kwenda mgodini, sikuona sababu ya kuhesabu niliamua kuondoka maeneo yale ambapo ningeweza kuhesabu malori nakaingia Minza ambapo malory huyaoni maana hayapiti maeneo hayo.

Leo sitakaa maeneo ya barabara kuu najua yatapita tu malori yanayotibua nafsi yangutena.

Je hiki ndicho tulichokuwa tunakitaka? Nani anafaidika? Kwa manufaa ya nani? Au ndio wamepewa Ruksa kama wawekezaji? Au wapiga dili wameanza??
mbona kitambo?kabla hata ya xmass
 
Back
Top Bottom