Wakuu habari ya kazi.
Naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu japo kwa makisio (estimation),kiwango cha kodi nitakachohitajika kulipa kwa kuingiza (import) Mashine zifuatazo kutoka china;
1. Incubator (Capacity 1056 eggs) CIF 451 USD
2. Oil pressing Machine ( Capacity 200kg/hr) CIF 1,000 USD
Natanguliza shukurani zangu za dhati
jone
Tougher

kodi ni 25% import duty na 18% VAT
chukua cif X25% = a
a + cif = b
b x18% = c
kodi jumla = c + a
CIF IN TZS=1451*1662.52=2,412,316.52
import duty 25%=603,080
base=3,015,395.65
vat 18%= 542,772
total amount of tax = 1,145,552
kodi ni 25% import duty na 18% VAT
chukua cif X25% = a
a + cif = b
b x18% = c
kodi jumla = c + a
ila kama ni used itabid ulipe na excise duty, kama vipya hautalipa