Makisio ya Kodi

Makisio ya Kodi

Tougher

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
245
Reaction score
65
Wakuu habari ya kazi.

Naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu japo kwa makisio (estimation),kiwango cha kodi nitakachohitajika kulipa kwa kuingiza (import) Mashine zifuatazo kutoka china;

1. Incubator (Capacity 1056 eggs) CIF 451 USD

2. Oil pressing Machine ( Capacity 200kg/hr) CIF 1,000 USD

Natanguliza shukurani zangu za dhati

jone

Tougher
 
mkuu hebu muulize huyu mtu mathematics naye huwaga anafanya biashara ya uagizaji vitu
Wakuu habari ya kazi.

Naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu japo kwa makisio (estimation),kiwango cha kodi nitakachohitajika kulipa kwa kuingiza (import) Mashine zifuatazo kutoka china;

1. Incubator (Capacity 1056 eggs) CIF 451 USD

2. Oil pressing Machine ( Capacity 200kg/hr) CIF 1,000 USD

Natanguliza shukurani zangu za dhati

jone

Tougher
 
Last edited by a moderator:

kodi ni 25% import duty na 18% VAT

chukua cif X25% = a

a + cif = b

b x18% = c

kodi jumla = c + a
 
kodi ni 25% import duty na 18% VAT

chukua cif X25% = a

a + cif = b

b x18% = c

kodi jumla = c + a

CIF IN TZS=1451*1662.52=2,412,316.52
import duty 25%=603,080
base=3,015,395.65
vat 18%= 542,772
total amount of tax = 1,145,552
 
ila kama ni used itabid ulipe na excise duty, kama vipya hautalipa
 
CIF IN TZS=1451*1662.52=2,412,316.52
import duty 25%=603,080
base=3,015,395.65
vat 18%= 542,772
total amount of tax = 1,145,552

Asante mkuu ila unaweza kunifafanulia zaidi hapo kwenye nyekundu? Maana CIF iliyokuwa quoted na muuzaji ni 451, ila hapo umeongelea 1451 kuna additions au ni typing error?
 
kodi ni 25% import duty na 18% VAT

chukua cif X25% = a

a + cif = b

b x18% = c

kodi jumla = c + a

Mkuu hii ina apply hata kwa magari?
Na kama ina apply,kipengele cha engine capacity au CC kinahusikaje kwenye fomula hii?
 
Back
Top Bottom