MakJuice ni Upotoshaji unaoota mizizi Tanzania

Ukifungua centre ya togwa nishtue!
Napenda sana hicho kinywaji, Yaani Kuna kipindi cha nyuma kidogo bimkubwa alikuwa akipika togwa naanza nazo asubuhi ata chai sinywi
 
Wahudumu wake wanazingua sana, kama sio mtu maarufu au hawajakuona umekuja na gari basi huduma huwa ni mbovu na kwa kuchelewa sana na usishangae atayekuja baada ya ww kuhudumiwa fasta! Wajirekebishe hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahudumu wake wanazingua sana, kama sio mtu maarufu au hawajakuona umekuja na gari basi huduma huwa ni mbovu na kwa kuchelewa sana na usishangae atayekuja baada ya ww kuhudumiwa fasta! Wajirekebishe hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
I wish nilike hii comment mara 1000 yaani I was neglected hadi sina hamu ya kwenda kwenye kile kijuice bar chake pale Africasana
 
Hahaa Hiyo Aya yako ya Mwisho Dahh

Ngojea niitikie salamu kwa niaba Yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bila shaka umesoma ikizu maana uketamka jina lake lote kwa ufasaha na alikuwa analala simba 5 na goal keeper wa IKSS
 
Ushindani katika biashara hauepukiki,ni kujitahidi kwenye ubora,bei,spidi katika kumhudumia mteja n.k;lasivyo pepsi na koka kola wasingekuwepo.
Kweli mkuu namshukuru mungu kwa kunipa akili ya ubunifu na kufahamu soko, hii dhamira inanisukuma nisifanye biashara kwa mazoea hata saa moja na nikue..
 


Ni kweli bwana. Ila ukimcheki jamaa mmoja anaenda kwa brand ya juice king anajiita insta kama juicekingtz amekuja na style mpya ambayo hata mimi nimeipenda
 
Pia zinasaidia kuongeza kumbukumbu
 
biashara zilikuwepo toka enzi na enzi na kabla hata yesu hajazaliwa, wakati yeye anaangalia youtube akapata idea pia wengine waliangalia sema yeye kapata kujitangaza na network zake zimemfanya kujulikana aidi we jiulize wale wauza juice wa miwa walianza lini hapa dar, kimpasacho yeye kufanya ni kuwashauri ilivyo vyema na atafute mbinu nyingine za kulishika soko na kuikuza zaidi biashara yake
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…