Kuna hii mentality moja TZ kwamba kila anayeanzisha juice Point yake basi kaiga kwa Makjuice nachukizwa sana na hili.
Niwaekeweshe tu Juice bar zipo kitambo TZ na ni nyingi sana ila Makjuice ni jamaa kapata umaarufu tu kwenye biashara hiyo kwasababu ya kuji brand na network kubwa aliuonayo na anayoifanya kwa hilo apongezwe, ila juice bar zipo TZ especially DSM tangu yeye yupo anasoma.
Chakuongeza pia Dunia ime exist miaka mingi sana kiasi cha kwamba hakuna tena idea mpya na kwa TZ sasa hivi idea nyingi tunachukua nje, Mfano Starbuck ni biashara inayofanya vizuri kwenye solo sasahivi inaingiza billions of money binafsi nina wazo la kukopi kuifanya TZ ila sina power kwasasa sasa akitokea mwengine kwenye uwezo wa kuifanya akajulikana then Mimi nikija kufanya itakuwa nimeiga kwake.
Hili suala naliona hadi kwa Manala eti kamuiga Diamond sijui mwana FA jamani viumbe hai idea hizi zipo toka wote humu tujazaliwa.
Iyo mifano tu tuache hii mentality.
Tuache kuishi zama za feudalism TZ dunia inaenda fasta sana.
NB: Upo karne hii na huna ndoto yakufanya biashara ya kuanzia 100M kwenda juu nakusalim.
Sent using
Jamii Forums mobile app