Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Siku ya leo Derby kati ya wababe wawili Simba dhidi ya Yanga itaweka rekodi ya kushuhudiwa na kufuatiliwa na makocha wa timu 16 za Afrika.
Mchezo huu muhimu utashihudiwa na Kocha wa Club Africain ya Tunisia kwani atapenda kuwajua wapinzani wake Yanga atakaokutana nao tarehe 2 November 2022.
Kwa upande mwingine Makocha wa timu 12 zilizofuzu kuingia makundi ya Klabu Bingwa watakuwa wakifuatilia Simba kwa karibu. Ikumbukwe kuwa makundi hayajapangwa hivyo kuna uwezekano Simba akapangwa na yeyote kati ya wafuatao;
Pot 1️⃣: Al Ahly, Wydad, Espérance & Raja.
Pot 2️⃣: Sundowns, Zamalek, Horoya & Petro Luanda.
Pot 4️⃣: Cotonsport, Al Merrikh, Vipers & Vita Club.
Wengine watakaokuwa wakiifuatilia Simba ni Makocha watatu wa timu zilizo kundi moja na Simba na ambazo hawawezi kukutana makundi lakini inawezekana wakakutana hatua za mbele. Makocha hao ni wa timu zifuatazo;
Pot 3️⃣: Belouizdad, JSK & Al Hilal.
Kwa upande mwingine Azam FC watakuwa wanaofuatilia Derby hii kwani nao watakutana na Simba tarehe 27 mwezi huu huku wakiwa hawana Kocha Mkuu.
Derby ya leo siyo kuwa inaamua tu msimao wa Ligi ya NBC bali pia inasaidia watu wengi sana kufanya maamuzi makubwa.
BOTTOM LINE: Derby ya leo imebebwa na Simba kwa kila nyanja na upo uwezekano mkubwa sana wa Simba kufanya udhalilishaji kwa Yanga kwenye mzunguko huu wa kwanza wa ligi.