Kwanza wanastahili pongezi. Wamemaliza naye mpaka msimu! Siyo kawaida yao kabisa.Jamaa wameshindwa kukaza kabisa
Hadi msimu uishe watafukuza makocha si chini ya watatu.Kwanza wanastahili pongezi. Wamemaliza naye mpaka msimu! Siyo kawaida yao kabisa.
Halafu alikuwa amefit vizuri kweli. Labda aliona hakupewa heshima inayostahili na uongozi.Miloud kule kashinda mechi moja tu na sare moja zaidi ya hapo ni kipigo tu, sijui ilikuwaje akaondoka Yanga yenye project inayoeleweka
Hapana, kwa Yanga hii ya sasa Milud alikuwa hatufai. Jamaa toka akabidhiwe timu, timu haikuonesha mikakati mizuri sana. Na yeye alitamani kubaki ila uongozi wa Yanga ukampa NO.Halafu alikuwa amefit vizuri kweli. Labda aliona hakupewa heshima inayostahili na uongozi.
Unaposema hakuonesha mikakati mizuri unamaana gani? Tupe ufafanuzi, inawezekana hatukujua ya ndani zaidi kiufundiHapana, kwa Yanga hii ya sasa Milud alikuwa hatufai. Jamaa toka akabidhiwe timu, timu haikuonesha mikakati mizuri sana. Na yeye alitamani kubaki ila uongozi wa Yanga ukampa NO.
Viongozi walimuona huyu hawezi kuwa potential huko mbeleni kwamba wampe mkataba mrefu halafu watu waje wauvunje wamchukue.