Abie
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 289
- 535
Wakuu salaam,
Huwa najiuliza siku zote kuwa hawa makocha wakigeni wanawasiliana vipi na wachezaji wazawa? Wakati wanaonngea lugha tofauti? Kwa mfano kocha wa Yanga hata kiingereza tu kwake ni shida yaan hakijui yeye anaongea kifaransa lkn unamuona anamwita Faridi au Feisal anamwelekeza jambo na unaona kabisa kama wanongea na wanaelewana.
Na sio kwa makocha tu hata wachezji wa nje wanongea vipi na wachezaji wazawa? Au kuna lugha ya mpira tu?
Karibuni kwa maoni