Kilichoongelewa kwenye mada na ulichojibu ni vitu viwili tofauti. Yanga inakupa maumivu makali sana ya moyo. Au lasivyo basi shuleni ulienda kusomea ujinga.Kocha wa Yanga amesoma masomo yake kwa lugha ya kiingereza ila chaajabu hiyo lugha haiwezi. Ushindi wa Yanga ni ujanjaujanja tu wa GSM na wala sio ubora wa kocha au wachezaji.
Punguza frustration mkuuKocha wa Yanga amesoma masomo yake kwa lugha ya kiingereza ila chaajabu hiyo lugha haiwezi. Ushindi wa Yanga ni ujanjaujanja tu wa GSM na wala sio ubora wa kocha au wachezaji.
Sawa ila vyeti vyake vimeandikwa kwa kiingerezaPunguza frustration mkuu
Asilimia kubwa ya makocha wanaotoka nchi za kiarabu huwa hawajui kingereza.
Pia usikalili lugha ya kufundisha ukocha ni kingereza tu hata lugha nyingine zinatumika kama kifaransa.
Umeviona?Sawa ila vyeti vyake vimeandikwa kwa kiingereza
HahahahahajahKwenye soka hakuhitaji lugha bali kunahitaji kocha mwenye jicho la kuona mambo yafuatayo
1.Uwezo wa mchezaji
2.position ya mchezaji ni ipi
3.nani anafaa kucheza kwenye mechi gani,nafasi gani na kwa muda gani
4.Nani defender mzuri, midfielder na striker mzuri
5.Formula gani ambayo itaisaidia team kupata matokeo mazuri kutokana na Aina ya wachezaji alionao
Ukijua haya unaweza ukaifundisha hata Barcelona Tena kwa lugha ya kizaramo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unatoaje maelekezo kwa kizaramo na watu haelewi,,, yaan unamuelekezaje mchezaji kwa lugha ambayo yeye haijui?Kwenye soka hakuhitaji lugha bali kunahitaji kocha mwenye jicho la kuona mambo yafuatayo
1.Uwezo wa mchezaji
2.position ya mchezaji ni ipi
3.nani anafaa kucheza kwenye mechi gani,nafasi gani na kwa muda gani
4.Nani defender mzuri, midfielder na striker mzuri
5.Formula gani ambayo itaisaidia team kupata matokeo mazuri kutokana na Aina ya wachezaji alionao
Ukijua haya unaweza ukaifundisha hata Barcelona Tena kwa lugha ya kizaramo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa Kuna tsh ngapi kwenye hizo bahasha una ushahidiHii ndio Yangu ninayoijua. Bila bahasha za kaki yanga hashindi
Jina lako linaendana na mambo yako, mtu unajiita frustration unategemea uwe na mawazo positive? We muda wote upo stressed tu ona mpaka unakosea jina la timu,, ni Yanga na sio Yangu kaka, punguza mawazoHii ndio Yangu ninayoijua. Bila bahasha za kaki yanga hashindi
Hahahha matani ila nashukuru lugha umeielewaJina lako linaendana na mambo yako, mtu unajiita frustration unategemea uwe na mawazo positive? We muda wote upo stressed tu ona mpaka unakosea jina la timu,, ni Yanga na sio Yangu kaka, punguza mawazo
Kwa farid huwa anaongea nae kispaniola nabi anakijua na farid anakijua fei anaongea kiingereza hichihichoKocha wa Yanga amesoma masomo yake kwa lugha ya kiingereza ila chaajabu hiyo lugha haiwezi. Ushindi wa Yanga ni ujanjaujanja tu wa GSM na wala sio ubora wa kocha au wachezaji.