mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Siwezi kukushangaa Maana ndizo akili za misukule . Mlishaambiwa huko usukuleni hakuna mwenye akili. Na hapa unazidi kudhihirisha hiyo kauliI wishi I kudu bi Paschal wawa...ningempiga makonde Pablo kwa kunisukuma kiboya mbele ya mashabiki.
Kama kilivyo cha misukuleMakolo ni kikundi cha wahuni
Wa mchongo huwaga hawana huo muda,kazi kukimbilia kupost tuSijui kwa nini wachambuzi huwa hawajipi muda wa kutafuta ukweli.
Mkuu huyu mtu me niliapa kutodeal nae maana Kwa matusi anayoporomosha ukiwa na roho nyepesi anakuharibia siku 😅cc:
GENTAMYCINE
Uongozi wa Simba SC upesi sana 'Watimueni' Kocha Matola na Meneja Rweymamu Kikosini kwani 'Wanamhujumu' Kocha Kipenzi Pablo
Nakuunga mkono Simba wana makocha watatu wa nini kwa kikosi cha kwanza? Fukuza Matola aende timu ya reserve na huyo mrundi atafutiwe timu. Hitimana asiachwe hana matatizo Mkuu.www.jamiiforums.com
Ni suala la Muda tu.Mficha maradhi kifo umuumbua.View attachment 2056391
View attachment 2056395
Bongo kuna viwanda vya uzushi. Sub ya kocha Pablo mwenyewe lawama kashushiwa Matola, Rweyemamu na Hitimana. Shame on you all. Eti ooh Wawa anajisikiaje?! unadhani Wawa hamnazo?Hajui kocha alikuwa anaokoa point 3 kwa ujinga wa refa?
Kwa msiojua English msikilize Hitimana
Hayo maradhi unayolazimisha hayapo!! Hasira za utopolo ni kutokana na mbinu zao chafu kugonga mwamba!! Walitaka sana tukosee utaratibu wa sub ili wawa naye aingie kucheza kisha tupoteze pointi tatu!! uto mna mbinu chafu!!Ni suala la Muda tu.Mficha maradhi kifo umuumbua.
Nilishaachaga kumfollow mzee wa mitungo! Mzee wa mizizi huyoView attachment 2056472
ona huyu pamoja na uzee wote,ila hana muda wa kutunza heshima
mimi siwezi kufollow shogaNilishaachaga kumfollow mzee wa mitungo! Mzee wa mizizi huyo
Na kwanini isiwe kinyume chake kwamba maelezo au kinachodaiwa ni ufafanuzi kufuatia tukio Hilo ndio upotoshaji au namna ya kujikosha tu?!daaah jana nimewasikikiza Mawingu Ni aibu sijui wataeemaje leo NI AIBU.... wamepotosha watanzania wangapi kwa ujinga na uchambuzi ule ulioja hisia