Makocha Simba SC wafafanua sub ya Wawa

Makocha Simba SC wafafanua sub ya Wawa

Ni suala la Muda tu.Mficha maradhi kifo umuumbua.
Hayo maradhi unayolazimisha hayapo!! Hasira za utopolo ni kutokana na mbinu zao chafu kugonga mwamba!! Walitaka sana tukosee utaratibu wa sub ili wawa naye aingie kucheza kisha tupoteze pointi tatu!! uto mna mbinu chafu!!
 
daaah jana nimewasikikiza Mawingu Ni aibu sijui wataeemaje leo NI AIBU.... wamepotosha watanzania wangapi kwa ujinga na uchambuzi ule ulioja hisia
Na kwanini isiwe kinyume chake kwamba maelezo au kinachodaiwa ni ufafanuzi kufuatia tukio Hilo ndio upotoshaji au namna ya kujikosha tu?!
 
Back
Top Bottom