karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,253
Kiukweli jumapili ilikuwa siku ngumu sana kwangu hasa baada wale makiri kiri kutupiga goli la tatu
Nikasema ngoja nisubiri manyuu ya OLE GUNA SOSHA ndio kabisaaa ikawa maumivu juu ya maumivu
Katika pita pita zangu katika sosho midia nikaoa a mchambuzi mmoja ameandika "Gomes msalimie mkeo mwambie ulimpigia simu hitimana amuingize kenedy na mzamiru ila hakupokea"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikacheka kidogo
Kufungwa ni matokeo ya mpira lakini kuondoka kwa Gomes kumeniumiza kiasi japo sio sana maana Simba ni kubwa kuliko Gomes
Lengo la uzi huu najaribu kuhusianisha na kuona kwa nn makocha wa kirundi wenye CV kubwa hawapendi kuwa makocha wasaidizi naanza kama hivi
Baada ya kukosa kombe la ligi kuu kwa mara 5 mfululizo SIMBA ikamleta kocha mkameruni Omog akisaidiana na mganda Jackson Mayanja (kama sijakosea kuandika) wakati huo Mo dewji alikuwa ashatangaza nia ya kuwekeza Simba
Nakumbuka Simba iliupiga mwingi na Yanga akichukua ubingwa kwa kuizidi Simba magoli ya kufunga kwani nani hakumbuki kichuya kona na zile point 3 za Giza
Msimu uliofuata Simba ikasajili key players kutoka Azam fc ambao wanatamba hadi sasa mwanzo tu wa msimu kocha msaidizi Jackson Mayanja akaondoka wakamleta mrundi Masoud Djuma kama msaidizi
Simba ikatolewa na mashujaa/Green worrious kama sijakosea kwa mikwaju ya penalti mo DEWJI akatoa kauli kama ya jumapili Omog akafungashiwa mabegi
Timu ikabaki chini ya Masoud Djuma hapo tulienjoy soka maana lilipigwa pira la kufa mtu baada ya hapo akaja uchepe Patrick Aussems
Nani amesahau kwamba wachezaji na kocha walipigwa na chupa za maji CCM Kirumba ndipo akagundulika bwana Masoud Djuma mrundi ameanzisha mgomo baridi kwa wachezaji naye mabegi airport kwaheri
Uchebe akazoea lilipigwa pira licha ya kula khamsa ila timu ikafika hadi robo fainali
Didier Gomes Da Rosa baada ya kutokuwa na vigezo Simba ikamleteta Mrundi Hitimana kama kocha msaidizi sasa hapo nikiunganisha doti na maneno ya huyo mchambuzi ndio sielewi kabisaaaaaa naona kama inakuja halafu inakataa
Nenda Gomes ilijua kuiheahimisha Simba na kufanya kwa mkapa paogopeke nenda kamanda hii ndio Tanzania [emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app