Makocha wa Kirundi na kuwaponza makocha wakuu

Makocha wa Kirundi na kuwaponza makocha wakuu

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,802
Reaction score
3,253
Kiukweli jumapili ilikuwa siku ngumu sana kwangu hasa baada wale makiri kiri kutupiga goli la tatu

Nikasema ngoja nisubiri manyuu ya OLE GUNA SOSHA ndio kabisaaa ikawa maumivu juu ya maumivu

Katika pita pita zangu katika sosho midia nikaoa a mchambuzi mmoja ameandika "Gomes msalimie mkeo mwambie ulimpigia simu hitimana amuingize kenedy na mzamiru ila hakupokea"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikacheka kidogo

Kufungwa ni matokeo ya mpira lakini kuondoka kwa Gomes kumeniumiza kiasi japo sio sana maana Simba ni kubwa kuliko Gomes

Lengo la uzi huu najaribu kuhusianisha na kuona kwa nn makocha wa kirundi wenye CV kubwa hawapendi kuwa makocha wasaidizi naanza kama hivi

Baada ya kukosa kombe la ligi kuu kwa mara 5 mfululizo SIMBA ikamleta kocha mkameruni Omog akisaidiana na mganda Jackson Mayanja (kama sijakosea kuandika) wakati huo Mo dewji alikuwa ashatangaza nia ya kuwekeza Simba

Nakumbuka Simba iliupiga mwingi na Yanga akichukua ubingwa kwa kuizidi Simba magoli ya kufunga kwani nani hakumbuki kichuya kona na zile point 3 za Giza

Msimu uliofuata Simba ikasajili key players kutoka Azam fc ambao wanatamba hadi sasa mwanzo tu wa msimu kocha msaidizi Jackson Mayanja akaondoka wakamleta mrundi Masoud Djuma kama msaidizi

Simba ikatolewa na mashujaa/Green worrious kama sijakosea kwa mikwaju ya penalti mo DEWJI akatoa kauli kama ya jumapili Omog akafungashiwa mabegi

Timu ikabaki chini ya Masoud Djuma hapo tulienjoy soka maana lilipigwa pira la kufa mtu baada ya hapo akaja uchepe Patrick Aussems

Nani amesahau kwamba wachezaji na kocha walipigwa na chupa za maji CCM Kirumba ndipo akagundulika bwana Masoud Djuma mrundi ameanzisha mgomo baridi kwa wachezaji naye mabegi airport kwaheri

Uchebe akazoea lilipigwa pira licha ya kula khamsa ila timu ikafika hadi robo fainali

Didier Gomes Da Rosa baada ya kutokuwa na vigezo Simba ikamleteta Mrundi Hitimana kama kocha msaidizi sasa hapo nikiunganisha doti na maneno ya huyo mchambuzi ndio sielewi kabisaaaaaa naona kama inakuja halafu inakataa

Nenda Gomes ilijua kuiheahimisha Simba na kufanya kwa mkapa paogopeke nenda kamanda hii ndio Tanzania [emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
FB_IMG_16352739035556172.jpg


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
mkuu mwacheni gomez achinjwe tu! huu ulikuwa ndo msimu wake ambao kasajili mwenyewe hao wachezaji, Kapewa muda wa kutosha kujiandaa (preseason) kafanya trial karibia na timu tano (moroco mbili na huku tatu) akashinda match moja tu aliocheza na wale warundi.

kacheza simba day kapigwa, kacheza ngao kapigwa, kacheza na biashara kadraw, kacheza na dodoma jiji ndo kashinda kagoli kamoko tena ka kadi nyekundu. baada ya hapo ndo hayo ya jwanang yaliyotukuta. Je kweli kuna kocha hapo!!
 
Warundi nawajua vzuri sana. Kwanza wana umoja wa hali ya juu popote walipo,walio wengi ni jobless kwa sababu ya vita hivyo wanatafutiana kazi kwa vyovyote vile. Yaani ni kama KIAPO wanapokuwa wanabidhiwa PASSPORT.
 
Acha
Warundi nawajua vzuri sana.Kwanza wana umoja wa hali ya juu popote walipo,walio wengi ni jobless kwa sababu ya vita hivyo wanatafutiana kazi kwa vyovyote vile.Yaan ni kama KIAPO wanapokuwa wanabidhiwa PASSPORT.
Acha unafiki
 
Nitoe ushuhuda fulani kuhusu warundi,katika miangaiko ya kimaisha nilifanikiwa kufungua shughuli fulani,kama kiwanda kidogo hivi,mwanzoni nilianza vizuri tu,nilikuwa karibu sana na shughuli hio,kwa unagalizi wa karibu maana ndio mwanzo.
Changamoto ikawa kwa watendaji, excuses zikawa nyingi sana,kwa watendaji mara uyu leo katuma taarifa anaumwa,mara uyu anaenda kwenye msiba,ikawa ruhusa zinazidi kiasi kwamba shughuli zikawa zinayumba,pia nikagundua baadhi ya watendaji ni wezi wanaiba muda wa kazi kwa kuzembea pili wanaiba bidhaa kwa njia za panya wakishirikiana na baadhi ya senior staff kwenye management,na bado wanaenda kuongea maneno mabaya kwa wateja wetu ambao ni wateja wakubwa.
Katika kuangaika na masoko nikawa nimemtembelea rafiki yangu mmoja mtanzania mwenye asili ya asia,akanipa abc za wafanyakazi wa kibongo na jinsi ambavyo wanapenda hujuma na akanieleza ukitaka ufanye vizuri tafuta watu kutoka nje ya nchi,ungekuwa una connection India au Bangladesh ingekuwa bora uko kuna watu waaminifu sana kwenye uzalishaji,ila kwakua ndio unaanza nenda Burundi au Rwanda upate vijana hasa wale wanaotoka kabila la wahutu,ni wachapakazi mno.

Baada miezi kadhaa ya kufikilia ushauli wake nikakata shauli nifanye mpango nipate vijana wa kihutu kutoka Burundi,Rwanda au hata waha wa kigoma,nikafanikiwa kupata vijana kadhaa kutoka kigoma,na wahutu wa burundi.

Ukweli niliona mabadiliko kwa muda mfupi sana ni wachapakazi mno,ila kwenye kazi changamoto hazikosekani changamoto kubwa ikawa na kufitiniana na kuchongeana kwenye kazi,jamaa wanajua fitna aisee na ni wabishi mno yaani ili uendenao sawa lazima uwe na roho ya kikatili na utengeneze mazingira ya kuogopwa mno vinginevyo kazi yako unaweza hata kuikimbia kwa tabia za waha/wahutu.

Kitu nimejifunza watanzania ni wavivu mno,hawajitumi na waongeaji sana na ni wezi mno hawana roho ya kujenga zaidi wana waza kuiba kijinufaisha na kukufilisi kabisa, warundi ni wachapakazi mno ila ni wakorofi na wana fitna za kuchongea wenzao kwenye kazi, na kujipendekeza,shida ikawa moja mimi uwa naona kero sana mtu kujipendekeza kwangu,sipendi kabisa yaani nina tabia za wahindi sipendi chawa kabisa,ila kwa warundi ili bidi nivumilie kwasababu ni watendaji zaidi.
 
Back
Top Bottom