Makocha wa kutoka nje wameisaidia timu ya England

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,921
Reaction score
4,858
kwa hali ya sasa bila kumumunya maneno timu ya England ipo daraja la juu ukilinganisha na miaka kadhaa ya nyuma. England ya sasahivi inaweza kuleta upinzani mkubwa au kushinda timu yoyote duniani. Kweli kocha Gareth southgate mzee wa kizibao amechangia kutengeneza timu na mbinu za ushindi. Lakini mchango mkubwa zaidi uende kwa makocha wa kigeni katika premier league . Soka la premier kwa sasa ndiyo linatamba duniani lina timu 4 champions league mpaka sasa. Pep guardiola kama kawaida kazi yake ni kutengeneza world class player sasa hivi Raheem sterling hashikiki lazima akabwe na mabeki wengi. Pochetino amewatengeneza Kane, dele Ali,tripier, dier wapo kwenye wold class form. Ole Gunnar soljier amewatengeneza rashford,lingard wamekuwa world top class. Juergen klopp anamtengeneza Alexander kuwa top player. Hivyo Safari hii premier ship imefaidika na makocha wa nje. Kipindi bundesliga imekuwa top mpaka Bayern wanacheza na Dortmund fainali ya ulaya timu ya ujerumani ikawa viwango vya juu. Halafu serie A ilipotamba ulaya timu ya Italy ikawa juu. Laliga ilipotamba ulaya spain ikawa juu. Hata hapa Tanzania makocha wa nje wamejaribu kuibua vipaji vinavyosaidia hata afcon qualifications
 
Yani England kuwapiga tano tano Czech na montenegro ambayo ata taifa staz ina uwezo wa kuwafunga ndo imekua daraja la juu
 
Baada tu ya kusema ole Gunnar solskjaer kawatengeneza rashford na lingard,Sina haja ya kumalizia kusoma ulichoandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekija tambua Haijalishi mashabiki wa england wako wapi, eidha huko huko england au tanzania, dna zao wanafanana. Majigambo ila mpira hawawezi. Kuzifunga hizo timu ndogo ndio kuona wanajua? Au kupita njia rahisi kuliko zote kombe la dunia na kufika nusu fainali ndio basi tusinywe hata maji?
England bado sana. Wachezaji wa england wanaotamba ligi ya england ni kutoka nje, wa england ni wa kawaida sana, labda Kane anajitahidi.
 
Baada tu ya kusema ole Gunnar solskjaer kawatengeneza rashford na lingard,Sina haja ya kumalizia kusoma ulichoandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ole amekuja Manchester rashford makali yameongezeka amekuwa mshambuliaji mwenye uchu tofauti na alivyocheza kombe la dunia 2018
 
Kiwango cha England kimekua si kutokana na makocha kutoka nje ao makocha kutoka nje wapo miaka yote ila nikutokana na juhudi kubwa katka uwekezaji timu za vijana ambazo zinafanya vizuri. Kocha waliyenaye sasa aangalii majina makubwa anacho angalia uwezo wa wachezaji husika ndiomaana wanafanya vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole amekuja Manchester rashford makali yameongezeka amekuwa mshambuliaji mwenye uchu tofauti na alivyocheza kombe la dunia 2018
Unamzungumzia ole huyu caretaker wa man untd ambaye Hana hata miezi minne na timu au!!? anyways ngoja tusibishane endelea kuamin unachoamin mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole ni wa nch gan?
 
Majigambo ila mpira hawawezi


Hahahahahahha


Mkuu England sasa hivi sio ya mchezo aisee

Pale mbele wana Sterling, Rashford, Kane, Odoi


Katikati wana Maddison, Dier, Harry winks,Alexoxlade Chamberlain na kuna dogo Phil Foden

Beki ndio hatari sana maana wapo Wan Bissaka, Trippier, Kyle Walker hawa ni beki ya Kulia(RB)

Nikija beki ya kushoto wapo Luke,shaw, Danny rose, Chilwell

Centreback nako kuko vizuri maana wapo Joel Gomez wa Liverpool, Harry Maguire, John Stones, Rob Holding
 
Me shabiki wa england zaidi ya miaka 10,hiki ulichoandika ni madudu,
Miaka yote hiyo england ana kikosi cha wachezaj wazuri wengi,sijui ni bahati mbaya au sijui tuna nini,ila miaka yote io j
Kufanya vizuri euro na World cup aidha kuna mahali tutafanya mistake ya ajabu au yutafanyiwa hila za kisoka eg game against german.
All in all,england unayoisfia kausha,subiri uero,baada ya 16 au robo,chaliiii

Sent using Brain
 
Sterling?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…