- Thread starter
- #21
rashford wa sasa sio yule rashford wa miaka ya mourinho . Huyu wa sasa amekuwa mshambuliaji kamiliBaada tu ya kusema ole Gunnar solskjaer kawatengeneza rashford na lingard,Sina haja ya kumalizia kusoma ulichoandika.
Sent using Jamii Forums mobile app