Makocha wa Timu za NBC Premier League mkitaka Kutoka Sare na Yanga SC au Kuwafunga nawapeni Darasa la bure na lizingatieni sana nikianza na Police leo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ili utokea Sare / Suluhu na Yanga SC Mfumo huu wa 4-5-1 unafaa kama kweli Wachezaji wako wakiuzingatia.

Upoje?

Ni kwamba unachezesha Mabeki mahiri Wanne huku ukiwajaza katikati Viungo wote, Mawinga pamoja na Namba Kumi ili wawe Watano halafu kule mbele unamuacha Mchezaji Mmoja tu mwenye Mbio na Nguvu ili muwe mnafanya Counter na Kuwazuia Mabeki wa Kati wasipande kwa Kumuogopa.

Ili uwabahatishe Kuwafunga Yanga SC Mfumo huu wa 3-5-2 unafaa endapo tu Wachezaji wako watajitambua.

Upoje?

Unakuwa na Mabeki Katili Watatu na Wachezaji Watano wa Kuubana Uwanja na Washambuliaji Wawili Wasumbufu na wenye Mbio hapa Yanga SC utamuweza.

Sijui ni kwanini Makocha wengi wanaokutana na Yanga SC wanashindwa Kuutumia na badala yake wanabaki tu Kuiogopa Yanga SC, Kulegea na Kukubali Kufungwa nayo.

Kocha wa Police Tanzania mbinu hii Ok?
 
Kwa Yanga ya msimu huu, ukipata ushindi basi ni sare! Kinyume na hapo, ni kipigo tu.
 
Kwa Dar Young Africans hii hata wachezaji wapige mpira huku wanasoma Albadiri hata formation ya 5-4-1 magoli yanaingia pale pale.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkuu hii Id yako inaniacha hoi sana
 
Ili utokea Sare / Suluhu na Yanga SC Mfumo huu wa 4-5-1 unafaa kama kweli Wachezaji wako wakiuzingatia.

Upoje?

Ni kwamba unachezesha Mabeki mahiri Wanne huku ukiwajaza katikati Viungo wote, Mawinga pamoja na Namba Kumi ili wawe Watano halafu kule mbele unamuacha Mchezaji Mmoja tu mwenye Mbio na Nguvu ili muwe mnafanya Counter na Kuwazuia Mabeki wa Kati wasipande kwa Kumuogopa.

Ili uwabahatishe Kuwafunga Yanga SC Mfumo huu wa 3-5-2 unafaa endapo tu Wachezaji wako watajitambua.

Upoje?

Unakuwa na Mabeki Katili Watatu na Wachezaji Watano wa Kuubana Uwanja na Washambuliaji Wawili Wasumbufu na wenye Mbio hapa Yanga SC utamuweza.

Sijui ni kwanini Makocha wengi wanaokutana na Yanga SC wanashindwa Kuutumia na badala yake wanabaki tu Kuiogopa Yanga SC, Kulegea na Kukubali Kufungwa nayo.

Kocha wa Police Tanzania mbinu hii Ok?
Yanga leo kashinda naomba kuwasilisha uncle popoma🤭🤭🤭🤭
 
sawa coach
 
Mwambie Babra acheze winga teleza tuone kama atampita Bangala.
 
Matokeo yake?
 
Back
Top Bottom