Makocha wa vilabu vikubwa (Barcelona, Real Madrid) huwa wanawafundisha nini wachezaji wao? Mbona kama wote wanajua?

Thomas Brown

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2025
Posts
344
Reaction score
856
Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Higuain, Ronaldinho Gaucho, Steve MacManaman, Michael Owen, Patrick Cluvert, Rivaldo, Ricardo Kaka na wengineo wengi, watu kama hawa huwa makocha wanawafundisha nini??

Kocha kama wa Ihefu au Ken Gold at least utasema kocha ana kazi ya kufanya ya kuwafundisha, sasa Zidane na Messi kocha huwa anawafundisha nini??
 
Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Huguain, Ronaldinho Gaucho na wengineo wengi, watu kama hawa huwa makocha wanawafundisha nini??

Ulitaka wacheze Kama wako Yanga?
 
Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Huguain, Ronaldinho Gaucho na wengineo wengi, watu kama hawa huwa makocha wanawafundisha nini??

Kocha kama wa Ihefu au Ken Gold at least utasema kocha ana kazi ya kufanya ya kuwafundisha, sasa Zidane na Messi kocha huwa anawafundisha nini??
Wanafundishwa kutumia vipaji vyao vizuri kulingana na mechi husika.
 
Bongo hawana vipaji hivyo wanafundishwa sana sana physical. Halafu wanafundishwa kukaba, then kupokea pasi na kiachia pasi. Kisha wanafundishwa kufunga. Then wanafundishwa kuishi maisha ya professionalism Yao.
Hivi vyote kwa wenzentu ni kazi ya academy. Ndiyo maana huwezi kuona kocha kutoka shithole akapata timu ulaya.
Avram Grant alivyoenda Chelsea. Lampard alikuwa anasema anawafundisha vitu vya academy yaani hana jipya. Avram akasepeshwa mapema
 
Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Higuain, Ronaldinho Gaucho, Steve MacManaman, Michael Owen, Patrick Cluvert, Rivaldo, Ricardo Kaka na wengineo wengi, watu kama hawa huwa makocha wanawafundisha nini??

Kocha kama wa Ihefu au Ken Gold at least utasema kocha ana kazi ya kufanya ya kuwafundisha, sasa Zidane na Messi kocha huwa anawafundisha nini??
Wanafundishwa kucheza mfumo wa kocha. Kila kocha ana mfumo wake. Pia kila mechi inahitaji mbinu tofauti za kukabiliana na timu pinzani. Pia kuna ishu za kisaikolojia na mambo mengine ya nje ya uwanja.
 
Okay
 
kitu cha kuzingatia ni kwamba wanachukua ile cream, ni sawa useme walimu wa Tabora Boys au Ilboru migalasa inaachiwa team zingine za level hiyo wanawafunrishaje watoto mpaka wanapiga mabanda tuu
 
Ile Barca iliyokuwa full ngwamba walikuwa wanambiwa TU chezeni kama Jana.😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣
Ile ya kuanzia 2008 to 2012 hivi na kuendelea kidogo . Ilecheza na Man U final Championship Mzee Alex Ferguson anatetemeka mikono.🤣😂🤣😂
 
Hahahahaa umenikumbusha mbali saana mkuu.

Xavi, Iniesta, Messi, Gaucho, Etoo, Thiery Henry, Puyol, aisee weka mbali na watoto.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Back
Top Bottom