Niliwahi sikia kwamba Zidane alikuwa anatowa maelezo kwa team nzima halafu mwishowe anasema cristiano wewe cheza kama unavyofanyaga siku zote, same to pep na luis enrique wakiongea na messi "leo wewe unajuwa nini cha kufanya so usiniangushe kijana wangu"