Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Ulitaka wacheze Kama wako Yanga?Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Huguain, Ronaldinho Gaucho na wengineo wengi, watu kama hawa huwa makocha wanawafundisha nini??
Kocha kama wa Ihefu au Ken Gold at least utasema kocha ana kazi ya kufanya ya kuwafundisha, sasa Zidane na Messi kocha huwa anawafundisha nini??
Acha majingaUlitaka wacheze Kama wako Yanga?
Wanafundishwa kutumia vipaji vyao vizuri kulingana na mechi husika.Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Huguain, Ronaldinho Gaucho na wengineo wengi, watu kama hawa huwa makocha wanawafundisha nini??
Kocha kama wa Ihefu au Ken Gold at least utasema kocha ana kazi ya kufanya ya kuwafundisha, sasa Zidane na Messi kocha huwa anawafundisha nini??
Kukaba kuzuia kufungaWanafundishwa kutumia vipaji vyao vizuri kulingana na mechi husika.
Si hayo tu pia kocha anapanga tactics( mbinu) zitakazowasaidia kuwin na kuwaambia wachezaji weakness za timu pinzani na pia kocha anawapa morali wachezaji na kuhakikisha kuna ushirikiano kwenye timu.Kukaba kuzuia kufunga
Sasa kocha wa Ihefu na Real Madrid wana kazi sawa??..Ulitaka wacheze Kama wako Yanga?
Na mazoezi ya kulazimisha bila kufanya hivyo utimamu wa mwili unapotea, pia mbinu za kukabiliana na mpinzani tarajiMbinu za mchezo kutegemea wapinzani wao
Wanafundishwa kucheza mfumo wa kocha. Kila kocha ana mfumo wake. Pia kila mechi inahitaji mbinu tofauti za kukabiliana na timu pinzani. Pia kuna ishu za kisaikolojia na mambo mengine ya nje ya uwanja.Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Higuain, Ronaldinho Gaucho, Steve MacManaman, Michael Owen, Patrick Cluvert, Rivaldo, Ricardo Kaka na wengineo wengi, watu kama hawa huwa makocha wanawafundisha nini??
Kocha kama wa Ihefu au Ken Gold at least utasema kocha ana kazi ya kufanya ya kuwafundisha, sasa Zidane na Messi kocha huwa anawafundisha nini??
OkayWanafundishwa kucheza mfumo wa kocha. Kila kocha ana mfumo wake. Pia kila mechi inahitaji mbinu tofauti za kukabiliana na timu pinzani. Pia kuna ishu za kisaikolojia na mambo mengine ya nje ya uwanja.
Sawa mkuuWanafindishwa kucheza kimfumo. Pamoja na vipaji vyao wanahitaji nidhamu na aina ya uchezaji itakayowaunganisha kupata matokeo.
Hahahahaa umenikumbusha mbali saana mkuu.Ile Barca iliyokuwa full ngwamba walikuwa wanambiwa TU chezeni kama Jana.ππ€£ππ€£ππ€£ππ€£
Ile ya kuanzia 2008 to 2012 hivi na kuendelea kidogo . Ilecheza na Man U final Championship Mzee Alex Ferguson anatetemeka mikono.π€£ππ€£π
Okaykitu cha kuzingatia ni kwamba wanachukua ile cream, ni sawa useme walimu wa Tabora Boys au Ilboru migalasa inaachiwa team zingine za level hiyo wanawafunrishaje watoto mpaka wanapiga mabanda tuu