Wachezaji wa Yanga na Simba siku zote wao wanafundishwa kupiga chenga, kutoa pasi, kupiga faulu na kwenda mbio. Halafu tushinde?Si hayo tu pia kocha anapanga tactics( mbinu) zitakazowasaidia kuwin na kuwaambia wachezaji weakness za timu pinzani na pia kocha anawapa morali wachezaji na kuhakikisha kuna ushirikiano kwenye timu.
Its david villaaaaaaaa....chuma ya tatu babu haelewi. Iniesta xavi busquet wagonga gusa achia twende kwao ya ukweli ukweli sio hii ya utopwinyo ye ye nguvu ya sodaIle Barca iliyokuwa full ngwamba walikuwa wanambiwa TU chezeni kama Jana.ππ€£ππ€£ππ€£ππ€£
Ile ya kuanzia 2008 to 2012 hivi na kuendelea kidogo . Ilecheza na Man U final Championship Mzee Alex Ferguson anatetemeka mikono.π€£ππ€£π
Ile Barcelona nyoko sana aiseeIts david villaaaaaaaa....chuma ya tatu babu haelewi. Iniesta xavi busquet wagonga gusa achia twende kwao ya ukweli ukweli sio hii ya utopwinyo ye ye nguvu ya soda
Hatari mzeya hiyo inapigwa fabo mwenyewe unaburudika kinomaaaIle Barcelona nyoko sana aisee
Those guys were the chosen onesHatari mzeya hiyo inapigwa fabo mwenyewe unaburudika kinomaaa
Au ile bar ya ronaldinho...alipiga fabo msengeee yule mpaka masha iki wa madrid wakaamka kumpongeza.