Makocha wa Yanga wameanza vibaya mashindano, ni kwanini?

Makocha wa Yanga wameanza vibaya mashindano, ni kwanini?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Gamondi ameikosa ngao
Kaze kafungwa na JKT Tanzania
Mwinyi Zahera amefungwa na Coastal Union

Haya ni matata matatani. Ni uwezo wao mdogo, timu mbovu au ni mwanzo tu>
 
Gamondi ameikosa ngao
Kaze kafungwa na JKT Tanzania
Mwinyi Zahera amefungwa na Coastal Union

Haya ni matata matatani. Ni uwezo wao mdogo, timu mbovu au ni mwanzo tu>
Kama mazoezi yenyewe ndio haya unategemea nini
FB_IMG_1692176639929.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Gamondi ameikosa ngao
Kaze kafungwa na JKT Tanzania
Mwinyi Zahera amefungwa na Coastal Union

Haya ni matata matatani. Ni uwezo wao mdogo, timu mbovu au ni mwanzo tu>
Mmmm jamani mie nineishindwa kuielewa kbs
 
Anaifahamu Yanga kuliko wewe n mimi tunavyoifahamu, ana siri za Yanga, ni Yanga ameifundisha Yanga ni mtu wa Yanga.
Mtu wa Yanga kama nani ni kiongozi, shabiki au mwanachama wa Yanga?
 
Mmmm jamani mie nineishindwa kuielewa kbs
Ujue kuwa Zahera na kaze walikuwa Yanga, na waliachwa na Yanga. Kama wanafanya vibaya kwenye timu zao mpya baada ya Yanga ina maana ni Yanga ilikuwa sahihi kuacha, au ni kwasababu tu timu walizokwenda ni mbovu.
 
Back
Top Bottom