Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,728
- 1,327
duuh kweli wew mkongwe katka tasnia sasa mim ndio naianza safari nikirudi home nataka nichukue timu ilio sirias ya vijana..nimewahi kufundisha lakin timu za kwetu haziko sirias unafundisha leo watu 10 kesho wanakuja wawili.Mmojawapo ni mimi hapa. Nimecheza mpira kwa miaka mingi! Nimecheza sana Kombe la Muungano Mufindi miaka hiyo kiasi cha wenyeji wa huko kunizawadia mke!
Nimesoma ukocha ngazi ya awali kupitia kwa Kocha Boniface Mkwasa 'Master' na pia Michael Bundala, aliyekuwa bosi wa chama cha makocha nchini!
Nimefundisha timu mbalimbali za mchangani huko madongo poromoka!
Kwa sasa nimestaafu. Nakula tu pensheni.
1. kwa maoni yangu mim nafikiri cha kwanza lugha, unajua mwalimu unachangamana na watu tofauti na mawasiliano ndio katka soccer ndio kitu cha kwanza. huezi kufundisha kwa vitendo tuu lazima uzungumze na ueleweke. tatizo nalo ona sisi watanzania hatuko comfortable na nje kiswahili confidence hivyo ni ile dhana ya uoga tu na kutokiaminWadau nawauliza swali, nini kinakwamisha makocha wetu kwenda kufundisha soka nje ya nchi?
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Nitajie Waafrica wa 4 wanaofundisha ulayaWadau nawauliza swali, nini kinakwamisha makocha wetu kwenda kufundisha soka nje ya nchi?
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Tumia akili wewe nguchiro.Nitajie Waafrica wa 4 wanaofundisha ulaya
nauliza swali nawe unaniuliza swaliNitajie Waafrica wa 4 wanaofundisha ulaya
hongera sana mpira ukiupenda usiache uende kabisa unaweza endelea kufanya kama part time kocha..tatizo hatuamini vipaji vya kwetu na ni kwasababu hatujawekeza pia katika elimu mchezajj ili afanikiwe asimamiwe kuanzia chini huku motivation ya ya hali juu ndio kiwango kinakua na atajiamini ataonekana tuuMchezaji hatari ligi ya mkoa nimecheza
Ukweli ni kuwa wachezaji wengi wenye vipaji uko mikoani huachana na mpira kutokana na changamoto kubwa za maisha
Nikiwakumbuka vipaji nilivyocheza navyo ni mmoja tu aliyecheza ligi kuu
Chuoni nikaamua kuwa kocha baada ya goti kuleta shida
hongera sana mpira ukiupenda usiache uende kabisa unaweza endelea kufanya kama part time kocha..tatizo hatuamini vipaji vya kwetu na ni kwasababu hatujawekeza pia katika elimu mchezajj ili afanikiwe asimamiwe kuanzia chini huku motivation ya ya hali juu ndio kiwango kinakua na atajiamini ataonekana tuu
Nani hajui kabisa kiswahili1. kwa maoni yangu mim nafikiri cha kwanza lugha, unajua mwalimu unachangamana na watu tofauti na mawasiliano ndio katka soccer ndio kitu cha kwanza. huezi kufundisha kwa vitendo tuu lazima uzungumze na ueleweke. tatizo nalo ona sisi watanzania hatuko comfortable na nje kiswahili confidence hivyo ni ile dhana ya uoga tu na kutokiamin
hivyo tunawaacha wakanda,warundi na makocha kutoka nchi mbali mbali kuja kwetu kuchukua kazi zetu lakin ukiangalia elimu ni ile ile wote tuko chini ya CAF hata kama ni UEFA bado atakasoma wa ulaya ndio kinafundishwa Africa hivyo ni kujiamini tu
2. Bado muamko ni mdogo hii kazi imeonekana ni ya wachezaji tu waliocheza ligi kuu na timu ya taifa tu. laikini kumbe ni ishu ambayo mtu yeyote alie interested anaeza kufanya kozi na akawa mzuri katika kufundisha kuliko huyo mchezaji. sasa namba ya makocha tz ni ndogo sana
hivyo n ngumu kua na watu nje kutokana na mfumo wetu wa elimu ya makocha hamasa ni ndogo na kutofuata sharia yaan mtu tu mwenye ameangalia mechi nyingi anafundisha huku level ya chini ambayo ndio muhim kuliko katka soccer..mim nimesoma kozi Niko nje ya tz lakin sijawahi kuulizwa kama nimewahi kucheza mpira kwa hio kubadili mtazamo na watu wapewe fursa kwa wingi hatimaye tutakua wengi ataanza kusaka ajira nje ya Tanzania.
3.pia kupitia process wabongo wengi tunataka short cut mpira hauna hivyo kama mwalim uzoefu ndio unaokupa ajira hakuna lingine hivyo uumie katika kusubiri na kuanzia chini mpaka unafika juu ukiwa competent. sio umesoma mwaka huu na huu unataka uwe ligi kuu. lazima uharibu kuna stage umezivuka hapo kwahio tunakosa Ajira nje kwasababu sisi tunarashia rashia mambo yetu kwa rushwa na usanii sasa huko kwingine lazima ufuate process...
kwahio mambo ni mengi lakin kwa haraka mimi naona hayo yanachangia pia
Hapo kwenye lugha nakusupport kabisa mia mia.1. kwa maoni yangu mim nafikiri cha kwanza lugha, unajua mwalimu unachangamana na watu tofauti na mawasiliano ndio katka soccer ndio kitu cha kwanza. huezi kufundisha kwa vitendo tuu lazima uzungumze na ueleweke. tatizo nalo ona sisi watanzania hatuko comfortable na nje kiswahili confidence hivyo ni ile dhana ya uoga tu na kutokiamin
hivyo tunawaacha wakanda,warundi na makocha kutoka nchi mbali mbali kuja kwetu kuchukua kazi zetu lakin ukiangalia elimu ni ile ile wote tuko chini ya CAF hata kama ni UEFA bado atakasoma wa ulaya ndio kinafundishwa Africa hivyo ni kujiamini tu
2. Bado muamko ni mdogo hii kazi imeonekana ni ya wachezaji tu waliocheza ligi kuu na timu ya taifa tu. laikini kumbe ni ishu ambayo mtu yeyote alie interested anaeza kufanya kozi na akawa mzuri katika kufundisha kuliko huyo mchezaji. sasa namba ya makocha tz ni ndogo sana
hivyo n ngumu kua na watu nje kutokana na mfumo wetu wa elimu ya makocha hamasa ni ndogo na kutofuata sharia yaan mtu tu mwenye ameangalia mechi nyingi anafundisha huku level ya chini ambayo ndio muhim kuliko katka soccer..mim nimesoma kozi Niko nje ya tz lakin sijawahi kuulizwa kama nimewahi kucheza mpira kwa hio kubadili mtazamo na watu wapewe fursa kwa wingi hatimaye tutakua wengi ataanza kusaka ajira nje ya Tanzania.
3.pia kupitia process wabongo wengi tunataka short cut mpira hauna hivyo kama mwalim uzoefu ndio unaokupa ajira hakuna lingine hivyo uumie katika kusubiri na kuanzia chini mpaka unafika juu ukiwa competent. sio umesoma mwaka huu na huu unataka uwe ligi kuu. lazima uharibu kuna stage umezivuka hapo kwahio tunakosa Ajira nje kwasababu sisi tunarashia rashia mambo yetu kwa rushwa na usanii sasa huko kwingine lazima ufuate process...
kwahio mambo ni mengi lakin kwa haraka mimi naona hayo yanachangia pia
Kipaji pekee akikufikishi ligi kuu na kudumu. Ata huko ulaya percentage ya vijana ambao walikuwa talented lakini hawakufika ligi kuu nchini mwao ni wengi sana karibia 70% ya wachezaji wa academy never make it into professional football, sembuse hawa wa kwetu ambao ata academy hawajapitiaMchezaji hatari ligi ya mkoa nimecheza
Ukweli ni kuwa wachezaji wengi wenye vipaji uko mikoani huachana na mpira kutokana na changamoto kubwa za maisha
Nikiwakumbuka vipaji nilivyocheza navyo ni mmoja tu aliyecheza ligi kuu
Chuoni nikaamua kuwa kocha baada ya goti kuleta shida
umejitahidi kujibu ila umejitetea sana1. kwa maoni yangu mim nafikiri cha kwanza lugha, unajua mwalimu unachangamana na watu tofauti na mawasiliano ndio katka soccer ndio kitu cha kwanza. huezi kufundisha kwa vitendo tuu lazima uzungumze na ueleweke. tatizo nalo ona sisi watanzania hatuko comfortable na nje kiswahili confidence hivyo ni ile dhana ya uoga tu na kutokiamin
hivyo tunawaacha wakanda,warundi na makocha kutoka nchi mbali mbali kuja kwetu kuchukua kazi zetu lakin ukiangalia elimu ni ile ile wote tuko chini ya CAF hata kama ni UEFA bado atakasoma wa ulaya ndio kinafundishwa Africa hivyo ni kujiamini tu
2. Bado muamko ni mdogo hii kazi imeonekana ni ya wachezaji tu waliocheza ligi kuu na timu ya taifa tu. laikini kumbe ni ishu ambayo mtu yeyote alie interested anaeza kufanya kozi na akawa mzuri katika kufundisha kuliko huyo mchezaji. sasa namba ya makocha tz ni ndogo sana
hivyo n ngumu kua na watu nje kutokana na mfumo wetu wa elimu ya makocha hamasa ni ndogo na kutofuata sharia yaan mtu tu mwenye ameangalia mechi nyingi anafundisha huku level ya chini ambayo ndio muhim kuliko katka soccer..mim nimesoma kozi Niko nje ya tz lakin sijawahi kuulizwa kama nimewahi kucheza mpira kwa hio kubadili mtazamo na watu wapewe fursa kwa wingi hatimaye tutakua wengi ataanza kusaka ajira nje ya Tanzania.
3.pia kupitia process wabongo wengi tunataka short cut mpira hauna hivyo kama mwalim uzoefu ndio unaokupa ajira hakuna lingine hivyo uumie katika kusubiri na kuanzia chini mpaka unafika juu ukiwa competent. sio umesoma mwaka huu na huu unataka uwe ligi kuu. lazima uharibu kuna stage umezivuka hapo kwahio tunakosa Ajira nje kwasababu sisi tunarashia rashia mambo yetu kwa rushwa na usanii sasa huko kwingine lazima ufuate process...
kwahio mambo ni mengi lakin kwa haraka mimi naona hayo yanachangia pia
hongera sana maana agents nyingi zimejikita kwa players tu ni rahisi kwa wachezaji kupenya kuliko makocha..hivyo kila la kheri mkuu unaweza leta impact hatimae watu wakaanza kuingia katka tasnia hii kwa wingi na game ikabadilika.Huu uzi mzuri,unanipa mwanga juu ya kile nachotarajia kukifanya ktk SPORTS AGENCY yangu juu ya kuwapatia MAKOCHA wa bongo FURSA