Makocha walimu wa mpira wa miguu tukutane hapa

Mpini Wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
1,728
Reaction score
1,327
Sasa ni muda wa sisi walimu kua na platform hapa jukwaan tujadili namna ya mbalimbali ya kushiriki katka kukuza vipaji changamoto pia tujadili na pia kupeana madili mbalimbali.

Binafsi mim ni mwalim part time ningefurahi kukutana na wenzangu tujadili mstakabali wa soka letu la bongo karibuni...
 
Mmojawapo ni mimi hapa. Nimecheza mpira kwa miaka mingi! Nimecheza sana Kombe la Muungano Mufindi miaka hiyo kiasi cha wenyeji wa huko kunizawadia mke!

Nimesoma ukocha ngazi ya awali kupitia kwa Kocha Boniface Mkwasa 'Master' na pia Michael Bundala, aliyekuwa bosi wa chama cha makocha nchini!

Nimefundisha timu mbalimbali za mchangani huko madongo poromoka!

Kwa sasa nimestaafu. Nakula tu pensheni.
 
duuh kweli wew mkongwe katka tasnia sasa mim ndio naianza safari nikirudi home nataka nichukue timu ilio sirias ya vijana..nimewahi kufundisha lakin timu za kwetu haziko sirias unafundisha leo watu 10 kesho wanakuja wawili.

na huku chini ndio msingi wa kuivisha mchezaji kwajili ya kua proffesional player timu za ligi kuu zinategemea kupokea wachezaji kamili kule hawana muda wa kutengeneza player hii ni challenge kubwa kwetu walimu upande wa discpline
 
Wadau nawauliza swali, nini kinakwamisha makocha wetu kwenda kufundisha soka nje ya nchi?

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
1. kwa maoni yangu mim nafikiri cha kwanza lugha, unajua mwalimu unachangamana na watu tofauti na mawasiliano ndio katka soccer ndio kitu cha kwanza. huezi kufundisha kwa vitendo tuu lazima uzungumze na ueleweke. tatizo nalo ona sisi watanzania hatuko comfortable na nje kiswahili confidence hivyo ni ile dhana ya uoga tu na kutokiamin

hivyo tunawaacha wakanda,warundi na makocha kutoka nchi mbali mbali kuja kwetu kuchukua kazi zetu lakin ukiangalia elimu ni ile ile wote tuko chini ya CAF hata kama ni UEFA bado atakasoma wa ulaya ndio kinafundishwa Africa hivyo ni kujiamini tu

2. Bado muamko ni mdogo hii kazi imeonekana ni ya wachezaji tu waliocheza ligi kuu na timu ya taifa tu. laikini kumbe ni ishu ambayo mtu yeyote alie interested anaeza kufanya kozi na akawa mzuri katika kufundisha kuliko huyo mchezaji. sasa namba ya makocha tz ni ndogo sana

hivyo n ngumu kua na watu nje kutokana na mfumo wetu wa elimu ya makocha hamasa ni ndogo na kutofuata sharia yaan mtu tu mwenye ameangalia mechi nyingi anafundisha huku level ya chini ambayo ndio muhim kuliko katka soccer..mim nimesoma kozi Niko nje ya tz lakin sijawahi kuulizwa kama nimewahi kucheza mpira kwa hio kubadili mtazamo na watu wapewe fursa kwa wingi hatimaye tutakua wengi ataanza kusaka ajira nje ya Tanzania.

3.pia kupitia process wabongo wengi tunataka short cut mpira hauna hivyo kama mwalim uzoefu ndio unaokupa ajira hakuna lingine hivyo uumie katika kusubiri na kuanzia chini mpaka unafika juu ukiwa competent. sio umesoma mwaka huu na huu unataka uwe ligi kuu. lazima uharibu kuna stage umezivuka hapo kwahio tunakosa Ajira nje kwasababu sisi tunarashia rashia mambo yetu kwa rushwa na usanii sasa huko kwingine lazima ufuate process...

kwahio mambo ni mengi lakin kwa haraka mimi naona hayo yanachangia pia
 
Nitajie Waafrica wa 4 wanaofundisha ulaya
Tumia akili wewe nguchiro.

Jamaa anaongelea nje ya nchi (Tanzania).

Mfano tunaona makocha wa Zambia, Congo, South, Kenya (unakumbuka James Siang'a wa Simba) wanakuja kufundisha timu zetu.

Je na sisi wapo makocha wetu wanaofudisha nje ya Bongo?
 
Mchezaji hatari ligi ya mkoa nimecheza
Ukweli ni kuwa wachezaji wengi wenye vipaji uko mikoani huachana na mpira kutokana na changamoto kubwa za maisha
Nikiwakumbuka vipaji nilivyocheza navyo ni mmoja tu aliyecheza ligi kuu

Chuoni nikaamua kuwa kocha baada ya goti kuleta shida
 
hongera sana mpira ukiupenda usiache uende kabisa unaweza endelea kufanya kama part time kocha..tatizo hatuamini vipaji vya kwetu na ni kwasababu hatujawekeza pia katika elimu mchezajj ili afanikiwe asimamiwe kuanzia chini huku motivation ya ya hali juu ndio kiwango kinakua na atajiamini ataonekana tuu
 
Ilikuwa ni enzi za ujana
hongera sana mpira ukiupenda usiache uende kabisa unaweza endelea kufanya kama part time kocha..tatizo hatuamini vipaji vya kwetu na ni kwasababu hatujawekeza pia katika elimu mchezajj ili afanikiwe asimamiwe kuanzia chini huku motivation ya ya hali juu ndio kiwango kinakua na atajiamini ataonekana tuu
 
1. kwa maoni yangu mim nafikiri cha kwanza lugha, unajua mwalimu unachangamana na watu tofauti na mawasiliano ndio katka soccer ndio kitu cha kwanza. huezi kufundisha kwa vitendo tuu lazima uzungumze na ueleweke. tatizo nalo ona sisi watanzania hatuko comfortable na nje kiswahili confidence hivyo ni ile dhana ya uoga tu na kutokiamin

hivyo tunawaacha wakanda,warundi na makocha kutoka nchi mbali mbali kuja kwetu kuchukua kazi zetu lakin ukiangalia elimu ni ile ile wote tuko chini ya CAF hata kama ni UEFA bado atakasoma wa ulaya ndio kinafundishwa Africa hivyo ni kujiamini tu

2. Bado muamko ni mdogo hii kazi imeonekana ni ya wachezaji tu waliocheza ligi kuu na timu ya taifa tu. laikini kumbe ni ishu ambayo mtu yeyote alie interested anaeza kufanya kozi na akawa mzuri katika kufundisha kuliko huyo mchezaji. sasa namba ya makocha tz ni ndogo sana

hivyo n ngumu kua na watu nje kutokana na mfumo wetu wa elimu ya makocha hamasa ni ndogo na kutofuata sharia yaan mtu tu mwenye ameangalia mechi nyingi anafundisha huku level ya chini ambayo ndio muhim kuliko katka soccer..mim nimesoma kozi Niko nje ya tz lakin sijawahi kuulizwa kama nimewahi kucheza mpira kwa hio kubadili mtazamo na watu wapewe fursa kwa wingi hatimaye tutakua wengi ataanza kusaka ajira nje ya Tanzania.

3.pia kupitia process wabongo wengi tunataka short cut mpira hauna hivyo kama mwalim uzoefu ndio unaokupa ajira hakuna lingine hivyo uumie katika kusubiri na kuanzia chini mpaka unafika juu ukiwa competent. sio umesoma mwaka huu na huu unataka uwe ligi kuu. lazima uharibu kuna stage umezivuka hapo kwahio tunakosa Ajira nje kwasababu sisi tunarashia rashia mambo yetu kwa rushwa na usanii sasa huko kwingine lazima ufuate process...

kwahio mambo ni mengi lakin kwa haraka mimi naona hayo yanachangia pia
Nani hajui kabisa kiswahili
 
Hapo kwenye lugha nakusupport kabisa mia mia.

Lingine lakuzi gatia ni kwamba makocha wazawa hawapewi nafasi katika timu kubwa ambazo ndizo zinashiriki caf competitions. Mfano rahisi tuu...yaani yanga walimtaka mecky aje kuwa msaidizi wakati huko kagera alikuwa head coach...sii dharau hizo. Kama umekubali uwezo wake kwa nini usimle positin ya head coach?

Chukulia mfano mzuri italia...timu kubwa zote, inter ac milan napoli juventus lazio zinafundishwa na wazawa. Hii kwangu mie ndio the way to go. Kama federation unatakiwa uwa empower watu wako ili wao ndio wafundishe hizo timu.
 
Mchezaji hatari ligi ya mkoa nimecheza
Ukweli ni kuwa wachezaji wengi wenye vipaji uko mikoani huachana na mpira kutokana na changamoto kubwa za maisha
Nikiwakumbuka vipaji nilivyocheza navyo ni mmoja tu aliyecheza ligi kuu

Chuoni nikaamua kuwa kocha baada ya goti kuleta shida
Kipaji pekee akikufikishi ligi kuu na kudumu. Ata huko ulaya percentage ya vijana ambao walikuwa talented lakini hawakufika ligi kuu nchini mwao ni wengi sana karibia 70% ya wachezaji wa academy never make it into professional football, sembuse hawa wa kwetu ambao ata academy hawajapitia
 
1. kwa maoni yangu mim nafikiri cha kwanza lugha, unajua mwalimu unachangamana na watu tofauti na mawasiliano ndio katka soccer ndio kitu cha kwanza. huezi kufundisha kwa vitendo tuu lazima uzungumze na ueleweke. tatizo nalo ona sisi watanzania hatuko comfortable na nje kiswahili confidence hivyo ni ile dhana ya uoga tu na kutokiamin

hivyo tunawaacha wakanda,warundi na makocha kutoka nchi mbali mbali kuja kwetu kuchukua kazi zetu lakin ukiangalia elimu ni ile ile wote tuko chini ya CAF hata kama ni UEFA bado atakasoma wa ulaya ndio kinafundishwa Africa hivyo ni kujiamini tu

2. Bado muamko ni mdogo hii kazi imeonekana ni ya wachezaji tu waliocheza ligi kuu na timu ya taifa tu. laikini kumbe ni ishu ambayo mtu yeyote alie interested anaeza kufanya kozi na akawa mzuri katika kufundisha kuliko huyo mchezaji. sasa namba ya makocha tz ni ndogo sana

hivyo n ngumu kua na watu nje kutokana na mfumo wetu wa elimu ya makocha hamasa ni ndogo na kutofuata sharia yaan mtu tu mwenye ameangalia mechi nyingi anafundisha huku level ya chini ambayo ndio muhim kuliko katka soccer..mim nimesoma kozi Niko nje ya tz lakin sijawahi kuulizwa kama nimewahi kucheza mpira kwa hio kubadili mtazamo na watu wapewe fursa kwa wingi hatimaye tutakua wengi ataanza kusaka ajira nje ya Tanzania.

3.pia kupitia process wabongo wengi tunataka short cut mpira hauna hivyo kama mwalim uzoefu ndio unaokupa ajira hakuna lingine hivyo uumie katika kusubiri na kuanzia chini mpaka unafika juu ukiwa competent. sio umesoma mwaka huu na huu unataka uwe ligi kuu. lazima uharibu kuna stage umezivuka hapo kwahio tunakosa Ajira nje kwasababu sisi tunarashia rashia mambo yetu kwa rushwa na usanii sasa huko kwingine lazima ufuate process...

kwahio mambo ni mengi lakin kwa haraka mimi naona hayo yanachangia pia
umejitahidi kujibu ila umejitetea sana
 
Huu uzi mzuri,unanipa mwanga juu ya kile nachotarajia kukifanya ktk SPORTS AGENCY yangu juu ya kuwapatia MAKOCHA wa bongo FURSA
hongera sana maana agents nyingi zimejikita kwa players tu ni rahisi kwa wachezaji kupenya kuliko makocha..hivyo kila la kheri mkuu unaweza leta impact hatimae watu wakaanza kuingia katka tasnia hii kwa wingi na game ikabadilika.
 
Back
Top Bottom