Makocha walimu wa mpira wa miguu tukutane hapa

tunarudi kule kule wazawa hapa tz hatuaminiwi hata kidogo tizama Senegal wamefanya vizur afcon wakiwa na mwalim mzawa mimi naimani hata kocha akitoka nje elim ni ile ile ambayo na sisi tunapata tena utakuta wao wako shallow tu mpaka unajiuliza kiukweli hili ni tatizo hapa kwetu
 
Hao senegal wenyewe walitaka kumuajjri mzungu sema magwiji wa senegal ndio wakampigania jamaa ndio akapewa timu.
To make matters worse africa ata tukimuajiri kocha mzawa tunaleta story za uzalenso baadala ya kuheshimu ile taaluma yake. Imagine huyu kocha wa senegal was the lowest paid coach in the 2018 world cup.

Wacheki brazil...wao their coach was the second best paid coach hiyo world cup. Waafrica tupo tayari kumlipa mzungu million 50 kwa mwezi lakini kumlipa the same amout of money mzawa hatutati....sababu eti jamaa atatuchukulia dada zetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Wee kuonyesha sie waafrika wajinga juzi hapa hector coupe ana sign mkataba wakuinoa timu ya congo alafu eti mtu atakuwa anaishi ulaya...same thing ilitokea nigeria. Sasa wee niambie kweli hapo mnatumia akili au makalio kufikiri.

Yaani national team coach anaishi ulaya so means he doesnt care about local talents . Na je yeye sii ndio anatakiwa kigroom up coming coaches ili kuendeleza coaching skills za wazawa.

Wee chunguza national tea zote zinazotawala kwa kushinda world up wameshinda na makocha wazawa sio wakigeni. Ukiwa na nia mbona haya mambo yanawezekana. U just need to have the ryt oeople in place
 
uko right big up sana tatizo kuibadili hii mindset na kuinject kwetu Tz au Africa kiujumla ni shuguli inaanzia hapo. kwakweli naumia roho sana nikiangalia mtaala wa CAF huu mpya umeshiba kweli kama UEFA tuu sasa wao wana nini na sisi wanatuzidi nn lakin pia kuna makocha wazawa wamesoma ulaya lakin wakija huku ni wasaidizi au anaishia timu za chini tu
 
Tataizo ni federation yenyewe na ata wanaotoa permits. Nchi in caf A licence holders lakini unakuta foreign coach mwenye similar qualifications or even lower anapewa work permit. Huo ndio ujinga wetu wenyewe. Hatuna mkakati thabiti wakutaka kuwajengea uwezo makocha wetu.

Hilo la hao coaches waliosomanulaya ni kwamba nchini au niseme africa kiujumla wake tuna hulka ya kuwaona wale waliokuwa wanauwezo zaidi kama tishio na sio watu wakuwakumbatia na kuwatumia katika kuendeleza mpira wetu.

Hivi wewe imagine simba yanga azam namungo mbeya city na geita ambao ndio top six kwa sawa five teams zote foreign managers. Compare that to italy wher its vice versa only roma ndio inafundishwa na foreigner.
 
Ila tuache unafki wakuu....
Kweli kabisa mtu unalipa fee afu trainer wako ni Mkwassa?
Nisijudge sana ila kama team anazofundisha mpira wanaochezaga, na Nyie anawafundisha huo huo......
Kazi ipo.
 
ujue shida ipo kwa wanaofundishwa pia binafsi sina shaka na uwezo wa makocha wetu
 
Wadau nawauliza swali, nini kinakwamisha makocha wetu kwenda kufundisha soka nje ya nchi?

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Jibu jepesi hawajathibitisha ubora wao hapa nyumbani, umeona ibenge ama pitso mosimane wamefanya makubwa kwao wameenda kupiga pesa huko mbele.
Atokee mzawa mmoja alete shuruba ligi kuu, sio kwa kutwaa tu hata kutandaza soka saafi,matokeo, hawa kenge wakubwa wawili wakawa wanaambulia suluhu tu, tena akiwa na kikosi cha kawaida, apate kucheza shirikisho huko, atembeze vichapo hata kama ataishia robo ama nusu, tayari kaishajiuza.
 
Naongezea .....

Wabongo wengi hawamini vyakwetu watanzania hatuamini sana wakocha wazawa hasa hvi vilabu vyetu kongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…