Makocha walimu wa mpira wa miguu tukutane hapa

Makocha walimu wa mpira wa miguu tukutane hapa

Hapo kwenye lugha nakusupport kabisa mia mia.

Lingine lakuzi gatia ni kwamba makocha wazawa hawapewi nafasi katika timu kubwa ambazo ndizo zinashiriki caf competitions. Mfano rahisi tuu...yaani yanga walimtaka mecky aje kuwa msaidizi wakati huko kagera alikuwa head coach...sii dharau hizo. Kama umekubali uwezo wake kwa nini usimle positin ya head coach?

Chukulia mfano mzuri italia...timu kubwa zote, inter ac milan napoli juventus lazio zinafundishwa na wazawa. Hii kwangu mie ndio the way to go. Kama federation unatakiwa uwa empower watu wako ili wao ndio wafundishe hizo timu.
tunarudi kule kule wazawa hapa tz hatuaminiwi hata kidogo tizama Senegal wamefanya vizur afcon wakiwa na mwalim mzawa mimi naimani hata kocha akitoka nje elim ni ile ile ambayo na sisi tunapata tena utakuta wao wako shallow tu mpaka unajiuliza kiukweli hili ni tatizo hapa kwetu
 
Hao senegal wenyewe walitaka kumuajjri mzungu sema magwiji wa senegal ndio wakampigania jamaa ndio akapewa timu.
To make matters worse africa ata tukimuajiri kocha mzawa tunaleta story za uzalenso baadala ya kuheshimu ile taaluma yake. Imagine huyu kocha wa senegal was the lowest paid coach in the 2018 world cup.

Wacheki brazil...wao their coach was the second best paid coach hiyo world cup. Waafrica tupo tayari kumlipa mzungu million 50 kwa mwezi lakini kumlipa the same amout of money mzawa hatutati....sababu eti jamaa atatuchukulia dada zetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Wee kuonyesha sie waafrika wajinga juzi hapa hector coupe ana sign mkataba wakuinoa timu ya congo alafu eti mtu atakuwa anaishi ulaya...same thing ilitokea nigeria. Sasa wee niambie kweli hapo mnatumia akili au makalio kufikiri.

Yaani national team coach anaishi ulaya so means he doesnt care about local talents . Na je yeye sii ndio anatakiwa kigroom up coming coaches ili kuendeleza coaching skills za wazawa.

Wee chunguza national tea zote zinazotawala kwa kushinda world up wameshinda na makocha wazawa sio wakigeni. Ukiwa na nia mbona haya mambo yanawezekana. U just need to have the ryt oeople in place
 
Hao senegal wenyewe walitaka kumuajjri mzungu sema magwiji wa senegal ndio wakampigania jamaa ndio akapewa timu.
To make matters worse africa ata tukimuajiri kocha mzawa tunaleta story za uzalenso baadala ya kuheshimu ile taaluma yake. Imagine huyu kocha wa senegal was the lowest paid coach in the 2018 world cup.

Wacheki brazil...wao their coach was the second best paid coach hiyo world cup. Waafrica tupo tayari kumlipa mzungu million 50 kwa mwezi lakini kumlipa the same amout of money mzawa hatutati....sababu eti jamaa atatuchukulia dada zetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Wee kuonyesha sie waafrika wajinga juzi hapa hector coupe ana sign mkataba wakuinoa timu ya congo alafu eti mtu atakuwa anaishi ulaya...same thing ilitokea nigeria. Sasa wee niambie kweli hapo mnatumia akili au makalio kufikiri.

Yaani national team coach anaishi ulaya so means he doesnt care about local talents . Na je yeye sii ndio anatakiwa kigroom up coming coaches ili kuendeleza coaching skills za wazawa.

Wee chunguza national tea zote zinazotawala kwa kushinda world up wameshinda na makocha wazawa sio wakigeni. Ukiwa na nia mbona haya mambo yanawezekana. U just need to have the ryt oeople in place
uko right big up sana tatizo kuibadili hii mindset na kuinject kwetu Tz au Africa kiujumla ni shuguli inaanzia hapo. kwakweli naumia roho sana nikiangalia mtaala wa CAF huu mpya umeshiba kweli kama UEFA tuu sasa wao wana nini na sisi wanatuzidi nn lakin pia kuna makocha wazawa wamesoma ulaya lakin wakija huku ni wasaidizi au anaishia timu za chini tu
 
Tataizo ni federation yenyewe na ata wanaotoa permits. Nchi in caf A licence holders lakini unakuta foreign coach mwenye similar qualifications or even lower anapewa work permit. Huo ndio ujinga wetu wenyewe. Hatuna mkakati thabiti wakutaka kuwajengea uwezo makocha wetu.

Hilo la hao coaches waliosomanulaya ni kwamba nchini au niseme africa kiujumla wake tuna hulka ya kuwaona wale waliokuwa wanauwezo zaidi kama tishio na sio watu wakuwakumbatia na kuwatumia katika kuendeleza mpira wetu.

Hivi wewe imagine simba yanga azam namungo mbeya city na geita ambao ndio top six kwa sawa five teams zote foreign managers. Compare that to italy wher its vice versa only roma ndio inafundishwa na foreigner.
 
Ila tuache unafki wakuu....
Kweli kabisa mtu unalipa fee afu trainer wako ni Mkwassa?
Nisijudge sana ila kama team anazofundisha mpira wanaochezaga, na Nyie anawafundisha huo huo......
Kazi ipo.
 
ujue shida ipo kwa wanaofundishwa pia binafsi sina shaka na uwezo wa makocha wetu
 
Wadau nawauliza swali, nini kinakwamisha makocha wetu kwenda kufundisha soka nje ya nchi?

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Jibu jepesi hawajathibitisha ubora wao hapa nyumbani, umeona ibenge ama pitso mosimane wamefanya makubwa kwao wameenda kupiga pesa huko mbele.
Atokee mzawa mmoja alete shuruba ligi kuu, sio kwa kutwaa tu hata kutandaza soka saafi,matokeo, hawa kenge wakubwa wawili wakawa wanaambulia suluhu tu, tena akiwa na kikosi cha kawaida, apate kucheza shirikisho huko, atembeze vichapo hata kama ataishia robo ama nusu, tayari kaishajiuza.
 
1. kwa maoni yangu mim nafikiri cha kwanza lugha, unajua mwalimu unachangamana na watu tofauti na mawasiliano ndio katka soccer ndio kitu cha kwanza. huezi kufundisha kwa vitendo tuu lazima uzungumze na ueleweke. tatizo nalo ona sisi watanzania hatuko comfortable na nje kiswahili confidence hivyo ni ile dhana ya uoga tu na kutokiamin

hivyo tunawaacha wakanda,warundi na makocha kutoka nchi mbali mbali kuja kwetu kuchukua kazi zetu lakin ukiangalia elimu ni ile ile wote tuko chini ya CAF hata kama ni UEFA bado atakasoma wa ulaya ndio kinafundishwa Africa hivyo ni kujiamini tu

2. Bado muamko ni mdogo hii kazi imeonekana ni ya wachezaji tu waliocheza ligi kuu na timu ya taifa tu. laikini kumbe ni ishu ambayo mtu yeyote alie interested anaeza kufanya kozi na akawa mzuri katika kufundisha kuliko huyo mchezaji. sasa namba ya makocha tz ni ndogo sana

hivyo n ngumu kua na watu nje kutokana na mfumo wetu wa elimu ya makocha hamasa ni ndogo na kutofuata sharia yaan mtu tu mwenye ameangalia mechi nyingi anafundisha huku level ya chini ambayo ndio muhim kuliko katka soccer..mim nimesoma kozi Niko nje ya tz lakin sijawahi kuulizwa kama nimewahi kucheza mpira kwa hio kubadili mtazamo na watu wapewe fursa kwa wingi hatimaye tutakua wengi ataanza kusaka ajira nje ya Tanzania.

3.pia kupitia process wabongo wengi tunataka short cut mpira hauna hivyo kama mwalim uzoefu ndio unaokupa ajira hakuna lingine hivyo uumie katika kusubiri na kuanzia chini mpaka unafika juu ukiwa competent. sio umesoma mwaka huu na huu unataka uwe ligi kuu. lazima uharibu kuna stage umezivuka hapo kwahio tunakosa Ajira nje kwasababu sisi tunarashia rashia mambo yetu kwa rushwa na usanii sasa huko kwingine lazima ufuate process...

kwahio mambo ni mengi lakin kwa haraka mimi naona hayo yanachangia pia
Naongezea .....

Wabongo wengi hawamini vyakwetu watanzania hatuamini sana wakocha wazawa hasa hvi vilabu vyetu kongwe
 
Back
Top Bottom