Makocha wanampendea nini huyu Ally Soso wa Lipuli FC?

Makocha wanampendea nini huyu Ally Soso wa Lipuli FC?

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Sijawahi kujua vuzuri ubora wa Soso uwanjani ila huyu mchezaji wa Lipuli FC ameitwa timu ya taifa kwenda AFCON.

Ni mchezaji mvivu, hajui kukaba, hana pumzi, hajui tackling.

Anachoweza yeye ni kuanzisha mashambulizi kuanzia nyuma, zaidi hapo sioni cha maana kwake!
 
IMG-20190601-WA0025.jpg
 
Nasikia kwa muda mrefu sasa kuhusishwa kujiunga na Yanga. Sijajua vigezo wanavyotumia benchi la ufundi la Yanga kumhitaji mchezaji ambaye hata kwenye timu yake ya Lipuli hana namba kwenye kikosi cha kwanza. Chonde chonde! Nasikia mnataka kumsajili na mchezaji Ally Ally kutoka KMC!

Viongozi wa Yanga fanyeni usajili wenye tija. Mambo ya kutuletea wachezaji wa Lipuli na wale wa soka la ufukweni, mashabiki hatutaki.
 
Back
Top Bottom