Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Sep 7, 2024 #21 Nifah said: Yani unaacha kumuweka Arsene Wenger aliyemtengeneza George Weah mwenye Ballon D'or unamuweka Ten Hag? Kuweni basi na heshima walau. Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyetakiwa kuwepo hapo badala yake. Click to expand... Nenda kampikie mmeo umtoe klopp hapo umuweke nani
Nifah said: Yani unaacha kumuweka Arsene Wenger aliyemtengeneza George Weah mwenye Ballon D'or unamuweka Ten Hag? Kuweni basi na heshima walau. Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyetakiwa kuwepo hapo badala yake. Click to expand... Nenda kampikie mmeo umtoe klopp hapo umuweke nani
Hector Cooper JF-Expert Member Joined Apr 16, 2023 Posts 696 Reaction score 1,036 Sep 7, 2024 #22 Nifah said: Yani unaacha kumuweka Arsene Wenger aliyemtengeneza George Weah mwenye Ballon D'or unamuweka Ten Hag? Kuweni basi na heshima walau. Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyetakiwa kuwepo hapo badala yake. Click to expand... Mwanamke unajua boli kinyama sema tu hapo kwa klop unaanza kutusagia kunguni sisi majogoo
Nifah said: Yani unaacha kumuweka Arsene Wenger aliyemtengeneza George Weah mwenye Ballon D'or unamuweka Ten Hag? Kuweni basi na heshima walau. Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyetakiwa kuwepo hapo badala yake. Click to expand... Mwanamke unajua boli kinyama sema tu hapo kwa klop unaanza kutusagia kunguni sisi majogoo
Librarian 105 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 261 Reaction score 356 Sep 7, 2024 #23 Dah! Marcelo Bielsa simuoni. Au umeanza kufuatilia soka bada ya Ten Hag kuajiriwa Mwanitesa?!
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,504 Reaction score 35,520 Sep 7, 2024 #24 Librarian 105 said: Dah! Marcelo Bielsa simuoni. Au umeanza kufuatilia soka bada ya Ten Hag kuajiriwa Mwanitesa?! Click to expand... Don Carlo kachinjiwa baharini dunia haina huruma
Librarian 105 said: Dah! Marcelo Bielsa simuoni. Au umeanza kufuatilia soka bada ya Ten Hag kuajiriwa Mwanitesa?! Click to expand... Don Carlo kachinjiwa baharini dunia haina huruma
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Sep 8, 2024 #25 Messi tayari alishakuwa Super Star hata kabla hajakutana na Pep
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Sep 8, 2024 #26 Mleta mada hiyo picha umetoa wapi twitter? Unamjua Carlo Ancelotti? Lippi?