Makocha wanaotisha zaidi Duniani

Makocha wanaotisha zaidi Duniani

Yani unaacha kumuweka Arsene Wenger aliyemtengeneza George Weah mwenye Ballon D'or unamuweka Ten Hag? Kuweni basi na heshima walau.

Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyetakiwa kuwepo hapo badala yake.
Nenda kampikie mmeo umtoe klopp hapo umuweke nani
 
Yani unaacha kumuweka Arsene Wenger aliyemtengeneza George Weah mwenye Ballon D'or unamuweka Ten Hag? Kuweni basi na heshima walau.

Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyetakiwa kuwepo hapo badala yake.
Mwanamke unajua boli kinyama sema tu hapo kwa klop unaanza kutusagia kunguni sisi majogoo
 
Messi tayari alishakuwa Super Star hata kabla hajakutana na Pep
 
Mleta mada hiyo picha umetoa wapi twitter? Unamjua Carlo Ancelotti? Lippi?
 
Back
Top Bottom