Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hilo nilikuwa silijui , asante kwa ufafanuziNdiyo kirusi wa Simba pale,ila wenyewe hawajui ...
Sasa kocha wa pro-licence ya UEFA anatimuliwa,anabaki kocha wa zamani wa Lipuli 🤣🤣Hilo nilikuwa silijui , asante kwa ufafanuzi
Huenda ndiye anawahujumu kocha kupitia wachezaji.Nawauliza WanaSimba Wenzangu, kwanini ni Matola ...
Inasemekana,ilisikika,inahisiwa,inadhaniwa etcNdiyo kirusi wa Simba pale,ila wenyewe hawajui tu........ila inasemekana ndiyo mratibu wa Simba Kwa connection za Kwa Babu........ule moshi Sauzi Matola ndiye alitoa mwongozo
Simba wamekurupukaSasa kocha wa pro-licence ya UEFA anatimuliwa,anabaki kocha wa zamani wa Lipuli [emoji1787][emoji1787]
Basi itakuwa kawalogaUongozi wa Simba ni wa kijinga sana. Pale mchawi ni Matola. Kwanini hawalioni hili?
Ni yeye mhusika wa kila ujingaHuenda ndiye anawahujumu kocha kupitia wachezaji.
Wabongo kwa fitna hata shetani huchukua kozi kwao.
Hili swali nimelisikia mtaani pia.
Aisee ...wabongo bhanaUongozi wa Simba ni wa kijinga sana. Pale mchawi ni Matola. Kwanini hawalioni hili?