Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute matola anaplay part Kama mganga wa timu wakati mwingineNawauliza WanaSimba Wenzangu, kwanini ni Matola pekee anayebaki pale wanapoondolewa Makocha wenzake kwa sababu ya kiwango duni cha timu, Kwani yeye si sehemu ya benchi la Ufundi au Matola ni sehemu ya Uongozi?
Ikiwa kama Matola ni mzuri kuliko Makocha wa Nje tunaowapa mikataba ya hela Ndefu, kwanini sasa tusimpe Matola Mkataba kamili kama wa wale tuliowatimua ili ainoe Simba , tunaogopa nini ikiwa yeye si mbovu?
😅😅😅😅😅 kote anapigaYule ni maji marefu mtu kutoka Kigoma hawezi kufukuzwa anajua kupambana kwenye vita vya ardhini na angani.
Matola imekuwa matola! Mimi naona Matola apewe timu kwa msimu mmoja, ila apewe mshahara wa kueleweka!!Nawauliza WanaSimba Wenzangu, kwanini ni Matola pekee anayebaki pale wanapoondolewa Makocha wenzake kwa sababu ya kiwango duni cha timu, Kwani yeye si sehemu ya benchi la Ufundi au Matola ni sehemu ya Uongozi?
Ikiwa kama Matola ni mzuri kuliko Makocha wa Nje tunaowapa mikataba ya hela Ndefu, kwanini sasa tusimpe Matola Mkataba kamili kama wa wale tuliowatimua ili ainoe Simba , tunaogopa nini ikiwa yeye si mbovu?
Basi itakuwa kawaloga
Umetoa mfano wakijinga.huyo matola aligombea cheo gani hapo simba ili ufananishe na uongozi wa chadema?Acha unafiki, mbona CCM wanabadili wenyeviti wanao ongoza Chama Chao na Chadema mwanzoni walikua na utaratibu huo lakini tangu Mbowe amekua Mwenyekiti hajawahi kuachia madaraka je!! Freeman Mbowe amewaroga Chadema?
Nadhani ifike mahali simba waachane kabisa na matola
DuhNasema hivi…
Tumetika nae mbali sanaaa[emoji12][emoji12]
Utaondoka wewe mshabiki yeye atabaki!
Ni Bora club ife kuliko kuondoka yeye…[emoji30]