Makocha wote wanatimuliwa, ila Matola anabaki kwanini?

Acha unafiki, mbona CCM wanabadili wenyeviti wanao ongoza Chama Chao na Chadema mwanzoni walikua na utaratibu huo lakini tangu Mbowe amekua Mwenyekiti hajawahi kuachia madaraka je!! Freeman Mbowe amewaroga Chadema?
 
Usikute matola anaplay part Kama mganga wa timu wakati mwingine
 
Anasimamia kamati na mambo yote ya matambiko ya kijadi
 
Matola imekuwa matola! Mimi naona Matola apewe timu kwa msimu mmoja, ila apewe mshahara wa kueleweka!!
 
Hivi utopolo mbona mnawashwa sana na mambo ya mnyama?

Bado mnaogopa nini?
 
Nimekuoa Like sana[emoji2][emoji2]
Huyu Unaweza Ukafukuzwa wewe kuwa usiishabikie Thimba ila yeye akaachwa amini nakwambia…
Inawwzskana Hakuna anaejaribu Kumsogelea…
Ukimsema tuu au Lolote Wewe ndio unaondoka?
 
Mkuu Nina Mashaka Unaweza Kufukuzwa wewe Ujue Kwa Kumdema Jamaa pale…
Hata Kama Haupo,Unaweza Kufukuzwa tuu hata Kushabikia[emoji3166][emoji2][emoji2][emoji12]
Oooh!
Chezea bodi ya Kibongo wewe[emoji14]
 
Basi itakuwa kawaloga

Mkuu UNAWEZA FUKUZWA Wewe ujue??Unaweza Fukuzwa Kushabikia thimbaa na Bodi,Ukimgusa au kumsema tuu jamaa[emoji23][emoji14]
Yeye na Bod i ni damdam[emoji14][emoji123]
Yule ni untouchable Haguswi kamwe
 
Matala ndo ndago, au mchawi wa timu nae inatakiwa ajiuzuru aache uroho wa madaraka
 
Acha unafiki, mbona CCM wanabadili wenyeviti wanao ongoza Chama Chao na Chadema mwanzoni walikua na utaratibu huo lakini tangu Mbowe amekua Mwenyekiti hajawahi kuachia madaraka je!! Freeman Mbowe amewaroga Chadema?
Umetoa mfano wakijinga.huyo matola aligombea cheo gani hapo simba ili ufananishe na uongozi wa chadema?
 
Hivi huyu jamaa atakuwa ndiyo mganga wa timu eti! 🤔 Maana haiwezekani wametimuliwa makocha wageni zaidi ya wanne! Lakini yeye yuko palepale; kocha msaidizi! 😁
 
Nadhani ifike mahali simba waachane kabisa na matola

Nasema hivi…
Tumetika nae mbali sanaaa[emoji12][emoji12]
Utaondoka wewe mshabiki yeye atabaki!
Ni Bora club ife kuliko kuondoka yeye…[emoji30]
 
Kwenye jambo hili la Matola kubaki Simba na uku makocha wengine wana fukuzwa.
Kuna jambo la kujifunza.
Kwanza Matola ni kocha msaidizi ndani ya klabu ya Simba.
Kuna tofauti kubwa kati ya kocha msaidizi na kocha mkuu kimajukumu.
Kocha mkuu ndiye anae panga mpango wa timu yake, kuanzia namna ya kucheza (style of play)
Mfumo wa kucheza kwa timu yake ( formation)
Pamoja na mbinu na ufundi wa timu yake.
Lakini pia kocha mkuu ndiye mwenye jukumu la kufatilia kiwango cha mchezaji mmoja mmoja na kuakikisha ana mrudishia makali mchezaji ambaye ameshuka kiwango.
Majukumu haya kocha mkuu ana saidiwa na wasaidizi wake akiwemo kocha msaidizi.

Majukumu ya kocha msaidizi ni kusaidia tu kwenye maeneo ambayo ndio msingi wa kazi za kocha mkuu.
Na hakuna sehemu yoyote kocha mkuu ana lazimishwa kuchukua ushauri au mapendekezo ya kocha msaidizi.
Hivyo basi kutoa lawama kwa Matola nikumkosea heshima kwa sababu, kucheza vibaya kwa Simba yeye sio mtu wa mwisho wa maamuzi ya kiufundi au kimbinu.

Kuna maeneo tuna takiwa kuwapongeza Simba...kwanza kumpa Matola nafasi ya kuwa msaidizi kwa kipindi kirefu ni faida kwa Simba na Taifa.
Matola ana pata ujuzi wa mbinu na ufundi kupitia makocha wengi wenye madaraja makubwa ya ukocha.
Hivyo baada ya muda ana weza kutumika vizuri sana kwenye klabu ya Simba au taifa.
Simba wana muandaa Matola na ili ni jambo la kupongezwa sana.

Tukumbuke hata Ulaya kocha mkuu ana weza kufukuzwa na msaidizi akabaki na kushikilia timu kwa muda kupisha kocha mkuu.

Mwisho kumuita Matola ni kirusi ndani ya Simba ni kumkosea Heshima kubwa sana.
Zidane alikuwa kocha msaidizi wa Jose Mourinho...Kisha akawa msaidizi wa Carlo Ancelotti.
Hawa makocha wote walikuwa wana fukuzwa Zidane ana baki..!!!
Zidane akawa kocha wa Real Madrid B Ina julikana Kama Castilla.
Kisha akawa kocha mkuu wa Real Madrid.

Duniani kote timu ikifanya vizuri sifa zote ana pewa kocha mkuu kwa niaba ya benchi la ufundi.
Kwa sababu yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho kwenye kila jambo linalo husu ufundi na mbinu.
Na timu ikifanya vibaya anae pewa sifa mbaya ni kocha mkuu, ndiye ana paswa kuwajibika kwa matokeo mabovu ya timu.
Sasa kutaka msaidizi awajibike hii ni mpya kwenye ulimwengu wa mpira.
Ukiona benchi zima lina ondolewa kwa wenzetu, basi ufahamu kocha mkuu aliomba awe na wasaidizi hao ili afanye kazi nao.
Kocha mkuu akipendekeza kocha msaidizi wake, basi matokeo ya kiwa mabaya wote wana weza kufukuzwa maana msaidizi sio chaguo la klabu bali ni la kocha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…