Makohozi yananikosesha amani, msaada tafadhali

Makohozi yananikosesha amani, msaada tafadhali

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Amani na upendo uwe juu yenu.

wakuu ninapatwa na makohozi mara tu niamkapo asubuhi na makohozi yenyewe yapo kwa ndani kabisa ya koo na huwa si mengi na wala sina kikohozi.

kero yake yanakuja kila wakati na ili niyavute lazima nifanye kama nakoroma hivi na hayawezi kuja mdomoni hivyo hunilazimu kuyameza.

sasa kwa shemeji /wifi yenu ni kero kweli na hali hii huwa inaanza mara niamkapo hata kama ni alfajiri na hukoma nikinywa chai.

CC... Mzizi mkavu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom