Amosk
Member
- Dec 6, 2012
- 50
- 8
Habari wana jamii wenzangu, nimekuja kwenu naitaji msaada wenu pia hata tiba kama ipo.
Tatizo langu linalo niweka matatani na katika mawazo, mimi kolodani zangu inafikia wakati yananiuma sana mpaka nakosa hata pozi la kutembea kama nitakuwa natembea na kama nitakuwa nimekaa bac nitasumbuka sn kupata pozi, hali hii unitokea mara kwa mara ingawa si kila siku. Naombeni msaada wenu wana jamii wenzangu.