Makolodani

Makolodani

Amosk

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
50
Reaction score
8
Habari wana jamii wenzangu, nimekuja kwenu naitaji msaada wenu pia hata tiba kama ipo.
Tatizo langu linalo niweka matatani na katika mawazo, mimi kolodani zangu inafikia wakati yananiuma sana mpaka nakosa hata pozi la kutembea kama nitakuwa natembea na kama nitakuwa nimekaa bac nitasumbuka sn kupata pozi, hali hii unitokea mara kwa mara ingawa si kila siku. Naombeni msaada wenu wana jamii wenzangu.
 
Punguza kudindisha uume kwa muda mrefu bila kuwa na matumizi nao, mfano wakati unaangali picha za ngono.
 
kapige mionzi hospitali yawezekana kuna kansa inaanza kukua huna habari...kama sio hivo ni ngiri hiyo mkuu....wahi hospitali aisee wacha mbwembwe
 
Back
Top Bottom