Makomandoo 60 wa Ukraine wafanya shambulizi la kushtukiza kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia

Kazi ya Himars hiyo Jana,S300 na S400 zimebaki tu kudaka inzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizo video za kutengeneza huwa sijishughulishi nazo. Na ndio maana sijawahi na wala hutakujaniona nazikoti kuzielezea. Wewe mwenyewe pia huwa sikukoti ila mpaka unikoti, huwa naona una uwelewa saizi ya kina Nyamizi.

Btw: Tujaalie HIMARS zote zipo intact, mnashindwa nini sasa kukomboa mikoa na miji yenu toka June (miezi miwili imepita sasa) toka mlipopokea HIMARS (game changer 😇😇😁😁😄😄😂😂)

 
Unategemea misukule kukuelewa??? Wasikuchoshe, wasukumizie dawa tu mpaka akili ziwakae sawa
 
Kazi ishaisha kumbe jamaa wanawasoma halafu wananyuti wanasubiri wazikusanye pamoja halafu wakafanya yao, hawa jamaa ni balaa na nusu😅😅😅
 
Kuwa seriaz basi Decoy za mbao kweli ??? na wewe unaamini unajua kwamba Russia anatumia satelite pictures kabla hajarusha makombora yake??
 
Btw: Tumuulize Putin ambae anasema jeshi lake Lina silaha za kisasa kupita nchi yoyote kwanini hawana Ile Kasi waliokua nayo mwanzo ya kusomba vijiji tangu Himars ziingie mzigoni?!

Walisema ndege za Ukraine zote zimelipuliwa cha ajabu mpaka kesho ndege za Ukraine zinaruka na kufanya mashambulizi
 
Hahahaha za kutengeneza Ila za warusi ndo original [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Hivi waelewa maana ya "kuharibiwa 60% ya HIMARS" wewe?

Btw: Tujaalie HIMARS zote zipo intact, mnashindwa nini sasa kukomboa mikoa na miji yenu toka June (miezi miwili imepita sasa) toka mlipopokea HIMARS...
Usimkazie sana mkuu mwachie kidoogo maana atakimbia na sisi tunataka awepo ili tuone anavyoumia na kuteseka 🤣😅
 
Ndio maana nilikueleza una uelewa finyu mno kama wa Nyamizi...huna topic maalumu ya kujadili...waruka ruka kama mahindi ya bisi yaliyowekwa kikaangoni yanakaangwa.
 
Itafikia kipindi atabaki Zelle peke yake na mkewe wengine wote watauawa
 
Hahahaha za kutengeneza Ila za warusi ndo original [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Uwe wasumbua akili kidogo...toka hizo video zako fake zilipokuwa zikirushwa toka mwanzo wa vita, ni majiji mangapi na miji mingapi ya Ukraine imeendelea kuanguka mikononi mwa Urusi?

Maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa na kutekwa Mauripol huku hizo video fake za Ukraine kushinda vita mitandaoni zikiendelea kurushwa.
 
Yani hata kukomboa kijiji kimoja
 
Marekani yaripoti kuwa makomandoo 60 wa Ukraine leo asubuhi wamejaribu kufanya shambulio la ghafla la kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia uliopo Ukraine unaomilikiwa na majeshi ya Urusi toka mwezi March...
Hii habari imejaa uputini putini hatuwezi kuifanyia kazi mana hakuna chanzo rasmi., tunachoelewa ni kwamba Putini ameshindwa kupambana na Himars kabla hajapambana na Vimpire Wipons
 
Hii habari imejaa uputini putini hatuwezi kuifanyia kazi mana hakuna chanzo rasmi., tunachoelewa ni kwamba Putini ameshindwa kupambana na Himars kabla hajapambana na Vimpire Wipons
Sasa kama ndo hivyo, wateseka nini Mkuu hadi wajichosha bure na kupoteza muda wako ku-type maneno 25 yote ktk habari usiyoiamini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…