Makomandoo 60 wa Ukraine wafanya shambulizi la kushtukiza kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia

Makomandoo 60 wa Ukraine wafanya shambulizi la kushtukiza kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia

Kazi ya Himars hiyo Jana,S300 na S400 zimebaki tu kudaka inzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizo video za kutengeneza huwa sijishughulishi nazo. Na ndio maana sijawahi na wala hutakujaniona nazikoti kuzielezea. Wewe mwenyewe pia huwa sikukoti ila mpaka unikoti, huwa naona una uwelewa saizi ya kina Nyamizi.

Btw: Tujaalie HIMARS zote zipo intact, mnashindwa nini sasa kukomboa mikoa na miji yenu toka June (miezi miwili imepita sasa) toka mlipopokea HIMARS (game changer 😇😇😁😁😄😄😂😂)

Hivi waelewa maana ya "kuharibiwa 60% ya HIMARS" wewe?

Btw: Tujaalie HIMARS zote zipo intact, mnashindwa nini sasa kukomboa mikoa na miji yenu toka June (miezi miwili imepita sasa) toka mlipopokea HIMARS (game changer
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji1.png
emoji1.png
emoji56.png
emoji56.png
)

Unategemea misukule kukuelewa??? Wasikuchoshe, wasukumizie dawa tu mpaka akili ziwakae sawa
 
Dogo mbona unakuwa na uwelewa finyu hivyo?! Hivi ulitegemea Marekani ikubali kuwa Urusi ameziangamiza HIMARS zake halafu biashara yake idode?

Kwa taarifa yako hata Pro-Ukraine wenyewe wameripoti kuwa asilimia 60 ya HIMARS za Marekani zilizoingizwa Ukraine zimeharibiwa na Urusi. Na hiyo imeripotiwa na mwanachama wa NATO, Bulgaria 🇧🇬

Tujaalie HIMARS zote zipo intact, mnashindwa nini sasa kukomboa mikoa na miji yenu toka June (miezi miwili imepita sasa) toka mlipopokea HIMARS (game changer 🤣🤣😂😂😄😄😇😇)
====

View attachment 2341786View attachment 2341788
Kazi ishaisha kumbe jamaa wanawasoma halafu wananyuti wanasubiri wazikusanye pamoja halafu wakafanya yao, hawa jamaa ni balaa na nusu😅😅😅
 
Hahahaha kwahiyo Yale Makombora ya HIMARS yanayoshuka kwenye kambi za Urusi kule Kherson na Crimea yanatoka wapi?!

Itakua Russia wameharibu zile Himars za mbao ambazo Ukraine walizingeneza kuwafool warusi wakati Himars original zikipiga mzigo

https://www.google.com/amp/s/amp.th...-lure-russia-into-wasting-its-missiles-report

Wanaharibu mabao halafu Shoigu anakuja kutudanganya kwenye TV[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2341806
Kuwa seriaz basi Decoy za mbao kweli ??? na wewe unaamini unajua kwamba Russia anatumia satelite pictures kabla hajarusha makombora yake??
 
Hivi waelewa maana ya "kuharibiwa 60% ya HIMARS" wewe?

Btw: Tujaalie HIMARS zote zipo intact, mnashindwa nini sasa kukomboa mikoa na miji yenu toka June (miezi miwili imepita sasa) toka mlipopokea HIMARS (game changer
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji1.png
emoji1.png
emoji56.png
emoji56.png
)

Btw: Tumuulize Putin ambae anasema jeshi lake Lina silaha za kisasa kupita nchi yoyote kwanini hawana Ile Kasi waliokua nayo mwanzo ya kusomba vijiji tangu Himars ziingie mzigoni?!

Walisema ndege za Ukraine zote zimelipuliwa cha ajabu mpaka kesho ndege za Ukraine zinaruka na kufanya mashambulizi
 
Hizo video za kutengeneza huwa sijishughulishi nazo. Na ndio maana sijawahi na wala hutakujaniona nazikoti kuzielezea. Wewe mwenyewe pia huwa sikukoti ila mpaka unikoti, huwa naona una uwelewa saizi ya kina Nyamizi.

Btw: Tujaalie HIMARS zote zipo intact, mnashindwa nini sasa kukomboa mikoa na miji yenu toka June (miezi miwili imepita sasa) toka mlipopokea HIMARS (game changer [emoji56][emoji56][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23])

Hahahaha za kutengeneza Ila za warusi ndo original [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Hivi waelewa maana ya "kuharibiwa 60% ya HIMARS" wewe?

Btw: Tujaalie HIMARS zote zipo intact, mnashindwa nini sasa kukomboa mikoa na miji yenu toka June (miezi miwili imepita sasa) toka mlipopokea HIMARS...
Usimkazie sana mkuu mwachie kidoogo maana atakimbia na sisi tunataka awepo ili tuone anavyoumia na kuteseka 🤣😅
 
Btw: Tumuulize Putin ambae anasema jeshi lake Lina silaha za kisasa kupita nchi yoyote kwanini hawana Ile Kasi waliokua nayo mwanzo ya kusomba vijiji tangu Himars ziingie mzigoni?!

Walisema ndege za Ukraine zote zimelipuliwa cha ajabu mpaka kesho ndege za Ukraine zinaruka na kufanya mashambulizi

Ndio maana nilikueleza una uelewa finyu mno kama wa Nyamizi...huna topic maalumu ya kujadili...waruka ruka kama mahindi ya bisi yaliyowekwa kikaangoni yanakaangwa.
 
Marekani yaripoti kuwa makomandoo 60 wa Ukraine leo asubuhi wamejaribu kufanya shambulio la ghafla la kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia uliopo Ukraine unaomilikiwa na majeshi ya Urusi toka mwezi March. Urusi imewanywa wotee.

Jaribio hilo lililofeli limefanyika wakati wataalamu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Nyuklia (International Atomic Energy Agency (IAEA)) wakijiandaa kuutembelea mtambo huo wa nyuklia mkubwa zaidi barani Ulaya kushuhudia uharibifu uliofanywa na mashambulizi ya majeshi ya Ukraine dhidi ya mtambo huo.

Pia rejea: Marekani na Zelensky wailalamikia Urusi kuiondoa Kyiv kwenye mgao wa umeme toka kwenye mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia
====
View attachment 2341750View attachment 2341751View attachment 2341752
Itafikia kipindi atabaki Zelle peke yake na mkewe wengine wote watauawa
 
Hahahaha za kutengeneza Ila za warusi ndo original [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Uwe wasumbua akili kidogo...toka hizo video zako fake zilipokuwa zikirushwa toka mwanzo wa vita, ni majiji mangapi na miji mingapi ya Ukraine imeendelea kuanguka mikononi mwa Urusi?

Maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa na kutekwa Mauripol huku hizo video fake za Ukraine kushinda vita mitandaoni zikiendelea kurushwa.
 
Dogo mbona unakuwa na uwelewa finyu hivyo?! Hivi ulitegemea Marekani ikubali kuwa Urusi ameziangamiza HIMARS zake halafu biashara yake idode?

Kwa taarifa yako hata Pro-Ukraine wenyewe wameripoti kuwa asilimia 60 ya HIMARS za Marekani zilizoingizwa Ukraine zimeharibiwa na Urusi. Na hiyo imeripotiwa na mwanachama wa NATO, Bulgaria [emoji1058]

Tujaalie HIMARS zote zipo intact, mnashindwa nini sasa kukomboa mikoa na miji yenu toka June (miezi miwili imepita sasa) toka mlipopokea HIMARS (game changer [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji56][emoji56])
====

View attachment 2341786View attachment 2341788
Yani hata kukomboa kijiji kimoja
 
Marekani yaripoti kuwa makomandoo 60 wa Ukraine leo asubuhi wamejaribu kufanya shambulio la ghafla la kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia uliopo Ukraine unaomilikiwa na majeshi ya Urusi toka mwezi March...
Hii habari imejaa uputini putini hatuwezi kuifanyia kazi mana hakuna chanzo rasmi., tunachoelewa ni kwamba Putini ameshindwa kupambana na Himars kabla hajapambana na Vimpire Wipons
 
Hii habari imejaa uputini putini hatuwezi kuifanyia kazi mana hakuna chanzo rasmi., tunachoelewa ni kwamba Putini ameshindwa kupambana na Himars kabla hajapambana na Vimpire Wipons
Sasa kama ndo hivyo, wateseka nini Mkuu hadi wajichosha bure na kupoteza muda wako ku-type maneno 25 yote ktk habari usiyoiamini?!
 
Back
Top Bottom