Makomandoo 60 wa Ukraine wafanya shambulizi la kushtukiza kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia


Hivi akili za Zelensky zikoje!! Aliwatuma makomandoo ili wa pre empty kitu gani strategically??

Yaani Serikali ya Zelensky inapelekeshwa puta na ushauri mbovu na wakitoto kutoka kwa washauri wa Kimerikani - wanampoteza tu, lakini yeye hana habari anajiona anatetewa na a mega super power consequently nothing can go terribly wrong kwa upande wa Zelensky - kumbe hiyo si kweli hata kidogo, chukulia mfano wa Merikani kumshauri kwamba jeshi la Zelensky lifanye mashambulizi ya kushtukiza kujaribu kukomboa jimbo la Kherson - walipo fanya makosa ya kuvamia Kherson matokeo yake wanajeshi wa Ukraine na mamuluki wame uwawa kwa wingi mithili ya kumbikumbi, zana zao za vita zitachakazwa vikali sana, mpaka sasa wanajilahumu kwamba kuna wasaliti kwenye jeshi la Ukraine wanao vujisha siri za strategy za war planners wa jeshi la Ukraine siri hizo wanapewa jeshi la Urusi - wanasahau kwamba Urusi yenyewe ndio inawawekea mtego jeshi la Ukraine ili waingie kichwa kichwa kwenye mtego mwisho wa siku wamejikuta jeshi lao na zana zao za kivita vyote vinafyekelewa mbali.

Yaani mpaka sasa hawa amini kilicho wapata - kama kawaida yao vyombo vya habari vya magharibi pamoja na social media zao wanazungumza mambo tofauti kabisa kuhusu suala la Kherson hawataki kukiri kwamba Wamerika waliwa mis-lead jeshi la Zelensky kujaribu kuivamia jimbo la Kherson, lakini maskini kahambulia patupu.
 
Ile ya wanajeshi 2000 kushikwa mateka aisee ilikuwa ni aibu ya mwaka kwa Ukraine na washirika wake. Ile battle ya mariupol ilikuwa ni legendary, jinsi wakreni walivyokuwa wanailinda mariupol lkn bado ikaanguka inashangaza sana.

Bado watu wanazidi kusonga huko mykolaiv. Hadi October utasikia wajuba wamefika Odessa.
 
Mkuu, alitaka auchukue mtambo wa nyuklia aurudishe kwenye miliki ya Ukraine.

Unajua mtambo huo kukaliwa na Urusi kwa kipindi chote hicho (miezi 6), ni fedheha na udhalili mkubwa kwa Ukraine pamoja na Marekani + NATO hasa ukizingatia mijisilaha ya NATO iliyomiminwa huko ibadili hali ya mambo (lakini imefeli).
 
Kama Urusi ndo ingekuwa Marekani, basi tungeshuhudia action movies kibao zikitolewa kuzungumzia namna wanajeshi wa Marekani walivyowatandika wanajeshi waNazi mamboleo wa Ukraine na kuwateka zaidi ya 2500.

Urusi hana muda huo wa kutoa action movies za propaganda ili kutangaza ubabe na nguvu zake.
 
Kama unafikiri zele boy na magaidi wake Wana akili umekosea sana,ndio maana Mzee Baba anataka kuzirejesha akili zao kwenye mihimili zake🤸🤸🤸
 
Dogo kwani umeshikiwa bunduki usome habari toka chanzo hicho cha RT News?!

Nenda kasome habari toka TBCs za Marekani ambao hawapo hata vitani...

Tuliza mshono wako, usinipangie vyanzo vya kuchukua habari...
matusi kisa Urusi , umeolewa na mrusi nini ?
 
matusi kisa Urusi , umeolewa na mrusi nini ?
TULIZA MSHONO WAKO BIBI AJUZA, kumbuka umetoka KUJIFUNGUA jana tu kwa KISU🔪🔪🔪 (operesheni)...Sasa ukikasirika hovyo na kupata stress nyingi kwa kusemwa vibaya 'MMEO' mMarekani, utasababisha MSHONO wako kufunguka/ kuchanika tena, na kutupa shida sie nduguzo ya kuushikiza MSHONO wako kwa 🧷🧷🧷🧷🧷
 
Hao Comando wameuwawa kama kuku wapo 60 [emoji635][emoji635][emoji635][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii itakuwa idea ya USA. Walikuwa wanafikiria Russia watakuwa wapo wanconcentrated kutazama msafara wa wakaguzi alafu wao wafanye yao. Sasa imekula kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usikute hao waangalizi wa UN walitumika kuwapumbaza Urusi. Kilichowakuta maji yameitwa mma. Pole yao.
 
Hoja imeungwa mkono. Ni kipofu tuuuuu atasadiki
 
Ila sikirimimimaskini nakufagilia chalii yangu unapambana kweli, big up kamanda
 
huez hata tengeneza nepi yako uko bize kuwaponda waliotoboa , huo ni umamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…