Makomandoo wa IDF waokoa Mateka mmoja akiwa amefichwa kwenye handaki na magaidi ya Hamas

Ritz na Adiosamigo na FaizaFoxy wamejicha 😀😀 😀
Huyo Hamasi walimuonea huruma ni bedui tena mwarabu afu yupo kwenye wale jeshi la reserves. Waliona asije kufa. Sio mbaya kwa mara ya kwanza na kiri wamejitahidi Israel. Lakini hebu watuonyeshe wale majogoo wa Mossad walio chinjwa na drones za Hezbullah. Haswa lile kuti lilo komaa 😄
 
Mezee aliyeokolewa ni kobaz swala 7.
 
tuletee wewe maana Israel hawana wa kumsingizia mtu kifo kwani Maziko ni lazima... the issue unachukulia uongo wa Hamas unauweka kwa Jews too.. hivi unaamini Gaza Watoto elfu 15 wamededishwa?
 
Hamas wamemwachia huyo free IDF wakampokea kama katika sokoni. Anasema ni mzima wa afya kwa 100% . Ila kama kawaida yetu IDF tunatembea na bit
 
tuletee wewe maana Israel hawana wa kumsingizia mtu kifo kwani Maziko ni lazima... the issue unachukulia uongo wa Hamas unauweka kwa Jews too.. hivi unaamini Gaza Watoto elfu 15 wamededishwa?
Naamini ndio.
 
Muislam swala tano ameokolewa mikononi mwa magaidi baada ya kushikiliwa karibu miezi kumi.
Inadhihirisha kwamba wayahudi ni watu wema na sio wabaguzi kama tunavyoaminisha na magaidi
 
Hamas wamemwachia huyo free IDF wakampokea kama katika sokoni. Anasema ni mzima wa afya kwa 100% . Ila kama kawaida yetu IDF tunatembea na bit
Maneno yako ni kweli ni Hamasi ndio wamemuwachia kutokana na hi tv. na hata magazeti ya Israel yanasema Israel ni waongo si wao walio mkomboa. Hayo magazeti pia yanasema au huyo alikimbia.

Hizi porojo wanaficha majogoo yalio chinjwa na drones za Hezbullah 😄

View: https://youtu.be/bYeNVw_3orM?si=BJfJNiR9cCJgcK9q
 
Haaretz Hebraw News wameripoti kuwa ameachiwa na Hamas ila si unajua Tena baba Netanyahu anapambana kujiokoa lazima aseme kuwa IDF ndio wamemuokoa.
 
Muislam swala tano ameokolewa mikononi mwa magaidi baada ya kushikiliwa karibu miezi kumi.
Inadhihirisha kwamba wayahudi ni watu wema na sio wabaguzi kama tunavyoaminisha na magaidi
Kale.matango wewe Israel toka lini walikuwa wa kweli. Huyo kachiwa na Hamasi kisheria alitakiwa auliwe sababu.ni.mwanajeshi wa Israel.
 
Kale.matango wewe Israel toka lini walikuwa wa kweli. Huyo kachiwa na Hamasi kisheria alitakiwa auliwe sababu.ni.mwanajeshi wa Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…