Makomandoo wa Mbowe wanalipwa na nani?

Makomandoo wa Mbowe wanalipwa na nani?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Wakuu
Mbowe ndio kiongozi pekee wa chama cha siasa hapa nchini anaelindwa na makomandoo.
Je hao makomandoo wa mbowe wanalipwa na nani na wanalipwa kutoka chanzo gani cha mapato?
 
CCM wanaweza kuwa na majibu.
Hao makomando wa jeshi lipi?
Ukomando wameupata Ngelengele au wapi?
Wamestaafu?
 
Wakuu
Mbowe ndio kiongozi pekee wa chama cha siasa hapa nchini anaelindwa na makomandoo.
Je hao makomandoo wa mbowe wanalipwa na nani na wanalipwa kutoka chanzo gani cha mapato?
Chama
 
Back
Top Bottom