Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.
Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.
Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====