Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
DW ya mjerumani anaetoa msaada kwa Ukraine na anaeumizwa na masharti ya Urusi kwenye uuzaji wake wa mafuta akaweke propaganda znazomsifia tena Mrusi,sioni km ina maanaHawana majina hao magenerali? Ukraine ikiua nataja majina hadi picha
Propaganda tu hizo
Russia claimsSource
[emoji41]Hawana majina hao magenerali? Ukraine ikiua nataja majina hadi picha
Propaganda tu hizo
Majina yatakusaidia niniHawana majina hao magenerali? Ukraine ikiua nataja majina hadi picha
Propaganda tu hizo
Habari kama hizi zinaifanya siku yangu ya leo kuwa good sanaWatamalizwa mno.
Waulize DW waliotoa habari Urussi haina show off kama KibaHawana majina hao magenerali? Ukraine ikiua nataja majina hadi picha
Propaganda tu hizo
Raia wa ukraine kutoka chato.Hawana majina hao magenerali? Ukraine ikiua nataja majina hadi picha
Propaganda tu hizo