Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwahiyo wewe ulitakaje ?Mimi sina mengi, hii ni taarifa kutoka kwa Pro Ukraine" kutoka huko twitter!
Pia haya makombora yana uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia, makombora haya yanaogopwa sana NATO/USA!
NB: Taifa likikosea kuchagua rais mwenye akili jua anguko lake haliko mbali.
View attachment 2543108
Mkuu usikasirike, tulia dawa iingie.Kwahiyo wewe ulitakaje ?
Mbabe ni mbabe tu hata arushiwe nini bwasheeMimi sina mengi, hii ni taarifa kutoka kwa Pro Ukraine" kutoka huko twitter!
Pia haya makombora yana uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia, makombora haya yanaogopwa sana NATO/USA!
NB: Taifa likikosea kuchagua rais mwenye akili jua anguko lake haliko mbali.
View attachment 2543108
Ugaidi tu huu, wanashambulia tu makazi ya raia na miundombinu muhimu kama vituo vya umeme baada ya kushindwa kupata mafanikio kwenye uwanja wa Vita.Mimi sina mengi, hii ni taarifa kutoka kwa Pro Ukraine" kutoka huko twitter!
Pia haya makombora yana uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia, makombora haya yanaogopwa sana NATO/USA!
NB: Taifa likikosea kuchagua rais mwenye akili jua anguko lake haliko mbali.
View attachment 2543108
duuh !!Kama ni uchawi wa kuwaloga watu wasijue baya na zuri Basi US ni bingwa!!maana lolote atakalofanya liwe baya au zuri,viumbe wanasema zuriiiiiii.Sijawahi kuskia US anaitwa gaidi ,leo ana halalisha ushoga lkn sijaona watu wakimjia juu kabisaaa!!! angekuwa ndo Putin ana piga promo za ushogga duuuh angeitwa majina yote mabaya !!!Ugaidi tu huu, wanashambulia tu makazi ya raia na miundombinu muhimu kama vituo vya umeme baada ya kushindwa kupata mafanikio kwenye uwanja wa Vita.
Mkuu kwasasa andunje anajitutumua Lakini muda wake unakaribiaMkuu usikasirike, tulia dawa iingie.
Mbona Ukraine alipo shambulia daraja hukusema kama ni ugaidi?Ugaidi tu huu, wanashambulia tu makazi ya raia na miundombinu muhimu kama vituo vya umeme baada ya kushindwa kupata mafanikio kwenye uwanja wa Vita.
Mwendo wa bereshi tuuuuuuu hukoo[emoji21][emoji21][emoji21]Kyiv jana ilikua inawaka moto. Makombora "made in russia" ni balaa
Au USA alipoishambulia Japan na nyuklia hawakusema Ni ugaidi[emoji4]Mbona Ukraine alipo shambulia daraja hukusema kama ni ugaidi?
Uwanja gani tena ,wakati uwanja ndo huoUgaidi tu huu, wanashambulia tu makazi ya raia na miundombinu muhimu kama vituo vya umeme baada ya kushindwa kupata mafanikio kwenye uwanja wa Vita.
Uwanja upo huko maporini sio kwenye makazi ya watu
Hili picha ndo makombora hayo? Hata ujui unaongelea nini bwashee, NATO ni baba yenu, make mlichofanyiwa na kambi hiyo miaka ya 90 hamtayasahau milele na bado mnahemelewa kisogoniAnachonifurahisha Putin
Anatoa dozi kutokana na Hali ya mgonjwa [emoji4]View attachment 2543403