Au USA alipoishambulia Japan na nyuklia hawakusema Ni ugaidi[emoji4]
Hapo Sasa,na hapa ndipo tunatofautiana kwa upeo wa kuelewa mambo.
Hiroshima na Nagasaki waliuliwa sio TU wanajeshi,Bali wazee,walemavu,Wana wake na watoto,
Mbwa nyau,ngome,mbuzi,kuku na bata,
Miche,mimea ,miti,mito samaki,vyura na na senene.
Hakuna kilichobaki salama.
Lkn yote hayo ndugu zetu hao watakuambia ilikua ni halali.
Njoo Yugoslavia.
Libya.
Iraq, na
Syria.
Huko kote. Watakuambia walistahili kufanyiwa hayo na hakuna Ugaidi ulipofanyika.
Double standard,double standard.
Ama kweli Marekani anajua kuroga.