Makombora ya Kanzhal ya Urusi yaendelea kurindima anga la Kyiv Ukraine

Hata yakirindima athari ni ipi? unakumbuka russia ilipovamia Kyiv ilikuwaje kwa mabomu, sasa mwaka umeisha Zelensky yupo madhubuti Kyiv wageni hawa na hawa anapokea wewe kwa mtogole ndio unaumia
 
Watakwambia unakula hela zake misaada yake, Hivyo yupo sawa.
 
Umeongea point kubwa sana hii.
Sijui umri wako,lkn inaonesha umekua na akili kubwa kuliko umri wako.
wewe ni tunu ya taifa kwa siku za Leo na siku zijazo.
 
Au USA alipoishambulia Japan na nyuklia hawakusema Ni ugaidi[emoji4]
Hapo Sasa,na hapa ndipo tunatofautiana kwa upeo wa kuelewa mambo.
Hiroshima na Nagasaki waliuliwa sio TU wanajeshi,Bali wazee,walemavu,Wana wake na watoto,
Mbwa nyau,ngome,mbuzi,kuku na bata,
Miche,mimea ,miti,mito samaki,vyura na na senene.
Hakuna kilichobaki salama.
Lkn yote hayo ndugu zetu hao watakuambia ilikua ni halali.
Njoo Yugoslavia.
Libya.
Iraq, na
Syria.
Huko kote. Watakuambia walistahili kufanyiwa hayo na hakuna Ugaidi ulipofanyika.

Double standard,double standard.
Ama kweli Marekani anajua kuroga.
 
Ugaidi tu huu, wanashambulia tu makazi ya raia na miundombinu muhimu kama vituo vya umeme baada ya kushindwa kupata mafanikio kwenye uwanja wa Vita.
Mafanikio yapi wahitaji we kichwa maji?

Na ulitaka ashambulie wapi?
Mpaka aende kwenu
 
Kha hunijui, Ukraine wamnipa ubabe sana kwenye hivi vita, Mrusi amedhihirisha alivyo dhaifu, kwanza ameshindwa kupiga maeneo ya kijeshi anapiga uraiani na makombora yake halafu nashangaa maustadhi mnaendelea kumuabudu.
Alwaaa wakibari
 
Ugaidi tu huu, wanashambulia tu makazi ya raia na miundombinu muhimu kama vituo vya umeme baada ya kushindwa kupata mafanikio kwenye uwanja wa Vita.
Kwahiyo wanajeshi wa Ukraine wanalinda uwanja wa vita badala ya raia na Mali zao ikiwemo miundombinu? Nashauri wabalishe katiba maana duniani majeshi yanalinda mipaka ya nchi na vilivyomo ndani ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…