Makombora ya Urusi yaingia Poland safarini kuelekea Ukraine

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Russia imerusha makombora kuelekea Ukraine yaliyopitia ndani ya Anga la Poland masaa machache yaliyopita na kusababisha Poland kurusha ndege zake F 16 lakini zilisha chelewa na kusababisha mzozo juu ya Air defense zao zilizokua zikikoroma kwenye usingizi mzito

Russian missiles are flying along the Polish border. The Poles took off the F-16. The Russian missile flew into Poland for 39 seconds, and then turned around and flew to Ukraine, – the Polish Defense Ministry
Where is your air defense, Poles???😂
 
Attachments

  • 20240324_103839.jpg
    20240324_103839.jpg
    133 KB · Views: 7
Urusi taifa teule
Wakati huo huo milipuko mikubwa imetoa ndani ya Kiev na Air defense zimeshindwa kufanya kazi

Strong explosions thundered in Kiev at night: Missiles are rushing across Ukraine, driving the air defense crazy
▪️"So, we don't like these rockets. They changed course. They are heading towards Kiev," enemy resources comment.
Explosions are thundering in the capital of Ukraine, the air defense is trying to repel the attack.
t.me/RVvoenkor
 
Kumekucha kwa mara nyingine huko duniani
 
Nilisema kuanzia siku Ukraine walipofanya ule ujinga pale Moscow wajiandae Kwa mazito na makubwa ya kusisimua. Putin sio mtu poa yule KGB
Wanayo magumu tangu alipowavamia. Btw ubabe wa Putin haiitaji kuchokozwa Ili akushambulie.
 
Russia imerusha makombora kuelekea Ukraine yaliyopitia ndani ya Anga la Poland masaa machache yaliyopita na kusababisha Poland kurusha ndege zake F 16 lakini zilisha chelewa na kusababisha mzozo juu ya Air defense zao zilizokua zikikoroma kwenye usingizi mzito

Russian missiles are flying along the Polish border. The Poles took off the F-16. The Russian missile flew into Poland for 39 seconds, and then turned around and flew to Ukraine, – the Polish Defense Ministry
Where is your air defense, Poles???[emoji23]
Makopo kopo!
 
Wakati huo huo milipuko mikubwa imetoa ndani ya Kiev na Air defense zimeshindwa kufanya kazi

Strong explosions thundered in Kiev at night: Missiles are rushing across Ukraine, driving the air defense crazy
[emoji3502]"So, we don't like these rockets. They changed course. They are heading towards Kiev," enemy resources comment.
Explosions are thundering in the capital of Ukraine, the air defense is trying to repel the attack.
t.me/RVvoenkor
Trying not succeed!
 
Back
Top Bottom