Makombora yatua Tel Aviv

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi,

Mwanamke mmoja ameuawa na watu wengine kadhaa kujeruhiwa katika mashambulizi ya roketi yaliyofanywa na Hezbollah Jumatatu, baada ya kundi hilo la kigaidi kurusha zaidi ya roketi 100 kaskazini mwa Israeli

Mwanamke aliyeuawa ametambuliwa kuwa Safaa Awad, mwenye umri wa miaka 41.

Alifariki baada ya roketi kupiga jengo la ghorofa tatu katika mji wa Shfar’am kaskazini mwa nchi hiyo, kufuatia mashambulizi ya roketi tano yaliyorushwa na Hezbollah katika eneo la Galilee.

Miongoni mwa waathiriwa walioumia ni mwanamke mwenye umri wa miaka 41 na mvulana wa miaka 4 ambao kwa sasa wako katika hali mbaya

Your browser is not able to display this video.
 
Wanajeshi waliouliwa Lebanon ni wachache sana, hawazidi elf 1

Kwa upande wa Israel washaua Hezbollah wengi pamoja na viongozi wao, Leo wamepita na msemaji wao
Muisrael mweusi wa Mwabuki anatoa riporti ya vifo ya wanajeshi wa Israel😂

JF kuna vituko.
 
Tuliambiwa Tel Aviv kuna mfumo wa ulinzi wa kisasa hata jiwe huwezi kurusha😂
Na wewe ukaamini?

Hakuna mfumo wa ulinzi wenye precision ya asilimia 100.

Umesoma taarifa ya mwanajeshi wa kike Lacie, aliyeintercept drones 70 kutoka Iran?

Anasema drones nyingi tu walishindwa kuziintercept.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…