Makonda aahidi kukutana na "Wadudu"

Makonda aahidi kukutana na "Wadudu"

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Naona Makonda amechukua mwelekeo ambao utarahisisha kazi yake, mwelekeo wa kwenda pamoja na wadudu (masela,) wa Arusha.

Masela (aka wadudu) wa Arusha ni wababe hakuna mfano. Ndiyo maana RC kaamua kukaa nao na kufuata wanachotaka. Mkoa gani masela wamewahi kukaa na RC?

Wadudu hoyeeee!

Sasa ajenda ya wadudu itakuwa moja tu kwa RC Makonda, nayo ni "hatutaki maroroso Arusha". Mambo ya kutekana na kuuana hatuta.......ki.

View attachment 2958508
ahahaa yaani kuna ze duduz pale ungalimited na matejo cyo poa,bashite kazi anayo
 
Daaah wacje kwenda kweli wakinywa maji,soda,chakula hapo ofisini ujue ndio kwa kheri ni mwendo wa kupigwa chepe kwa kupishana. Rest in peace in advance
 
Back
Top Bottom